Hii ndio Afrika: Auawa kwenye jaribio la kuzuia risasi kwa hirizi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Mvulana wa miaka 12, auawa kwa kupigwa risasi na kaka yake nchini Nigeria, katika jaribio la 'kuzuia risasi' kwa kuvaa hirizi mpya.

Kwa mujibu wa polisi katika jimbo la Kwara, ndugu hao waliamini kuwa wamejiimarisha kwa kuvaa hirizi ya ulinzi, ndipo kaka mtu akampiga risasi mdogo wake kwa kutumia bunduki ya baba yao.
 
Hizo testing ni heri wangezifanyia miguunibna mikononi. sasa directly kwenye mfumo.
 
Hivi Nigeria bunduki zipo tu zimezagaa kiasi mpaka wasio na akili wanaweza kuzimiliki?
 
Watakuwa waha hao
 
Risasi haina roho utairogaje?[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…