Uchaguzi 2020 Hii ndio awamu iliyofeli kuliko awamu zote zilizopita


Siamini kuwa kunaweza kukatokea Rais incompetent, hopeless na useless kama Magufuli.
 

Serikali inabambikia wafanyabiashara kesi Leo watu wameondoa mitaji Yao imeshindwa kuiwezesha sekta binafsi Leo tenda utasikia jkt mara magereza hizo ajira zitakuja je kwenye sekta binafsi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jukumu la kuajiri kwa serikal haliepukiki jaribu kuangalia sekta kama afya na elimu zina uhaba mkubwa wa watumishi wakat vijana waliohitimu wapo mtaani bila ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna baadhi ya vitu baadhi yetu hatupendi tuvisikie

Jr[emoji769]
 
Hii ni awamu ambayo wapigaji wamefeli sana, wamebaki kutapatapa na kueneza chuki za Kijinga.
Chadema mlimtukana sana Mzee Wa msoga na mpaka mkampa jina Vasco Da Gamma, Na mlisema ndio Rais ovyo kabisa,ushaidi kibao humu, Leo hii mmesahau? Ukiomba upewe unachotaka kubali.
MUNGU amejibu maombi yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mzima akiwa na akili zake timamu anawezaje kusema ameokota kichwa cha treni kwa mfano
 
Hata hivyo sio hoja ya msingi maana alkosolewa pale alpokosea kwahiyo kama upinzani ulikuwa unatimiza majukumu yake
Serikali inabambikia wafanyabiashara kesi Leo watu wameondoa mitaji Yao imeshindwa kuiwezesha sekta binafsi Leo tenda utasikia jkt mara magereza hizo ajira zitakuja je kwenye sekta binafsi


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mpiga kura anayeweza kumnyima Rais Magufuli na wagombea wengine wa CCM kura kutokana na taarifa uliyoleta. Watashinda kwa kishindo 2020!
Watanzania wanawajua wasaliti wa nchi vizuri sana, usione hawaandiki! Mfano mzuri ni kwamba wananchi wapiga kura wanajua Lissu ni msaliti.
Pia wanajua Magufuli ni mzalendo wa kweli na aendelee kuongoza sisi.
 
Huyu aliyepo ni mbovu zaidi kuliko mzee msoga,yaani ni sawa na kuruka mkojo ukakanyaga mavi
 
Na ndo maana tunawapa elimu mbovu ya bure ili wasiweze kufanya informed decision lakini pia tumejitahidi kuajiri akina bashite wengi police ili ukimwambia ua aue akigoma unatishia kumfukuza kazi na kwa kuwa ni rumpeni basi anatii na kuamua kuua
 
Tumekuskia mkubwa ila mwezi wa 10 usifanye kosa tena kuanzia diwani hadi raisi.

Kila awamu ss tunalaumu dah nimeamini ukiwa baba huwez kupendwa na watoto wote ndani.
 
Miaka mitano ni kidogo mno kumhukumu Raisi Magufuli
Sisi tulimwona Mwl.Nyerere,Mwinyi,Mkapa Kikwete hadi Magu.
Lakini Mwl.Nyerere Aliumiza watu wengi sana na sera ya vijiji vya ujamaa bila maandalizi iliyopelekea kushuka sana kwa mazao ya chakula kwa kipindi kirefu.
Watu waliburuzwa kutoka makazi yao wakarundikwa kama viazi bila nyumba wala chakula porini,wengine wakaliwa wanyama wakati.Nilitegemea kwa watawala waliopita kutuomba msamaha kwa hiyo sera mfu ya vijiji vya ujamaa.
Japo tulikuwa na ardhi yenye rutuba na ya kutosha lakini tuliishi kwa chakula cha msaada "Yanga" kwa kipindi kirefu hadi alipokuja Raisi Mwinyi na sera yake maarufu RUKSA.
Ukifanya tafiti ya hasara aliotuletea Nyerere kwa sera zake za kukurupuka wala Magufuli hawezi kamwe kumfikia.
Wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa na uhuru wa kupata habari haukuwepo kama sasa.
Hata vita ya Kagera ilizaliwa kwa sababu ya urafiki wa watu wawili.Nyerere na Obote.Laiti Raisi Nyerere angesikiliza mawazo ya Majenerali wake na kuwa neutral kama Kenya,tungeepuka vita vya kibanda hasara,shilling yetu ingekuwa na nguvu sawa sawa kama ya Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…