Hii ndio bajeti ambayo haikosagi hela toka Serikalini

Hii ndio bajeti ambayo haikosagi hela toka Serikalini

Konny Joseph

Senior Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
118
Reaction score
199
IMG_20240416_173151_620.jpg
 
aina ya vyombo vya usafiri makazi na majengo ya utawala yanapaswa kua ya viwango sahihi kwa usalama wa viongozi wa taifa
Kwa hiyo usalama ni kwa viongozi wa serikali tu hawa watanzania wengine vp.

Kama bima ya afya tu ambayo wanachi wanatoa hela zao ili kupata huduma za afya na mambo hayaeleweki,ni usalama upi wa mwananchi utalindwa.

Kwani hao viongozi waliopita nyuma usalama wao ulitetereka kwa kukosa hayo magari ya kifahari??

Acha majibu rahisi kwenye maswali mazito,unaongea vitu kama kinda la mbwa lililofungwa bandani linakula bure!!

Umepata kichaka cha kuwaibia watanzania hapo basi unajiona ndio maisha yapo sawia sana,upo unatetea ujinga tu ili kulinda ugari wako.
 
aina ya vyombo vya usafiri makazi na majengo ya utawala yanapaswa kua ya viwango sahihi kwa usalama wa viongozi wa taifa
Yaani uishi huko na maisha yako bila usalam ila ukishakuwa kiongozi ndo usalama wako uanze kuangaliwa?

Ndiyo maana watu wakipata uongozi wanakuwa walafi, mafisadi na ubinafsi.

Ni lazima tuje tuondoshe hizi tofauti kubwa ili watu waone kuwa kiongozi ni wito wa kuwasaidia wengine kutatua changamoto za kijamii na kujenga fursa sawa za kiuchumi.
 
Kwamba hadhi ya kiongozi na mpiga kura ziwe sawa?
 
Issue ni serikali kuendelea kukomalia kukopa , kuweka kikokotoo kumbana mtumishi ilihali kuna ubadhirifu wa kutisha kwenye ripot ya CAG na hakuna kinachofanyika.
 
Back
Top Bottom