Hii ndio bajeti ambayo haikosagi hela toka Serikalini

Hii ndio bajeti ambayo haikosagi hela toka Serikalini

1000108987.jpg
 
aina ya vyombo vya usafiri makazi na majengo ya utawala yanapaswa kua ya viwango sahihi kwa usalama wa viongozi wa taifa

Kama ulisomeshwa kwa gharama za wazazi wako hakika ni HASARA kubwa.

Mawazo kama yako ndio yanafanya taifa la Tanzania kuwa masikini.

Bil 190, I am sure bibi yako kule Umakondeni hana bima ya Afya, yule dada yako wa pale masasi alijifungua chini ya sakafu. Mtoto wa mjomba Sakho pale lindi kwenu anasoma chini ya mti.

Hayo magari yanaulazima gani kwa wakuu wa wilaya ?

Ndugu, wakuu wa wilaya ni very average people na wengine ni form’4 failures na hawana importance yoyote kwenye jamii

ni lundo la vyeo linaloitafuna taifa. Hao ni wakuu wa wilaya kuna RC, sijui DED na takataka nyingine

Hao wakuu wa wilaya ni watu tu tunakutana nao kwenye chapati za buku buku na supu ya kongoro na pia tunakuwa nao bar wanaomba bia za 2500. Ndio maana sielew unazungumzia usalama gani. Kama unazungumzia usalama, basi hakuna kiongozi ambae yupo protected Tanzania endapo mtu amekusudia kufanya uhalifu, hakuna kuanzia huko juu hadi chini


Hata hizo guns wanazotembea nazo ni upumbavu na ushamba, hakuna mtu anaepoteza kutumia gun now days , gun ni ushamba, Tupo kwenye dunia ambayo, one breathe makes a difference , without gun shots.

Be smart

Mimi kwangu ukiniuliza, hao wakuu wa wilaya are not so special as compared na nurses au walimu ambao wananuka shida.

Mimi kwangu ukiniuliza, Rais , PM , Makamu na Mkuu wa Jeshi hao ndio wanaweza kupata privilege ya usafiri wa government.

The rest wawe treated Kama watumishi wengine, wanunue magari yao na kufanya service zao , tuone kama watanunua magari Kama hayo. Watanzania na viongozi akili ni ndogo.

Ipo siku TZ atapatikana Rais mwenye akili na ataondoa huo utitiri wa vyeo unaolitafuna taifa unnecessarily
 
Back
Top Bottom