Hii ndio CCM kimetoka chuma kimeingia chuma siyo kama CHADEMA kaondoka Dkt. Slaa imepoteza mwelekeo

Isije ikawa nguvu ya soda.
 
Chadema iko imara siku zote..katiba mpya mbona hawataki
 
Ngona nifue fue manguo yangu kwanza niwahi haka ka jua kesho nisije kosa nguo za kuingia ofisini
 
Mmeanza kuruka ruka sasa[emoji1787]
 
Umetoka moto umekuja moto wa tipa.
Mama kapikwa akaiva.
 
Haya, tumeibiwa sana nchi hii.. ndo kauli kuu ya mtangulizi... HAYA ATCL HASARA, BANDARI HASARA... na bado kwingine.. Wa sasa naye atangaze kuibiwa as if aliyepita hakufanya lolote?
 
Umetoka moto umekuja moto wa tipa.
Mama kapikwa akaiva.
Mama very soon atathibitisha serikali ya meko ilikuwa ya kifisadi kuliko zota hapa Tanzania tangu tupate uhuru.
Majizi yalikuwa yanajificha kwenye kichaka cha uzalendo...
 
Wee! Tafuta "Wanzuki" baridi unywe upate akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…