Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

Mtu wa Shamba,
Una uhakika hiyo Butimba sio center ya mitihani ya A-level pia?

Kwa muda mrefu sasa vyuo vya ualimu pia ni center ya mitihani ya form four na six.

Muhimu hapa ni kuangalia je huo mwaka 2000 kweli nape alifanya mitihani hiyo? Lakini hili la kwamba Butimba sio A-level nafikiri mnapoteza nguvu bure. Vyuo vyote sasa vina centers za mitihani. Ukitaka ingia website ya NECTA na angalia kama kuna center ya mitihani ya Butimba.
Ni center ya Private candidates. Lakini sio shule ya kusomea A level.

Sijakanusha Butimba TTC kuwa center ya mitihani.
 
Mbona sijaona sehemu yeyote aliyosoma chuo cha nje? Maana kuna wakati aliwai kusema alisoma India.
 
safi nape kumbe ni msomi mzuri tu.

Mm sijaelewa hii CV ya Nape hata kidogo! Ati A-level alichukua mchepuo wa EGM Butimba TTC. Mbona Butimba TTC ni chuo cha ualimu, toka lini chuo cha ualimu ikafundisha mambo ya combination? Vyuo vya ualimu vinatoa vyeti au stashada ya ualimu na si vinginevyo. Sijawahi kusikia mtu ameandika thesis au dissertation kati level ya diploma wala degree hapa Tanzania isipokuwa kuna kitu kinaitwa final year study paper (na si kwa universities zote). Thesis au dissertation ni katika level ya masters na PhD, Nape alipataje kuandika thesis katika level ya ordinary diploma tena katika chuo kidogo kama kivukoni? Title ya dissertation yake ya Mzumbe mbona haina kichwa wala miguu (haieleweki), aliwezaje kupata masters kwa dissertation yenye title kama hii? Yawezekana msimamizi wake mzumbe naye alikuwa bogus!!!!! I stand to be corrected!
 
Elimu ni elimu hata kama kahitimu kwa msuli(Rejea degree za uongo za akina Nchimbi/Kamala)

Hongera sana Nape kwa kutokata tamaa!CHADEMA tusipinge kila kitu jamani na ni wakati huu sasa tumshauri MB Mnyika amalize degree yake!
Na kama Nape alinunua cheti cha Form VI isihojiwe?
 
sisi ndio vijana wa dot com wewe, sio unakuwa mzee hapa jf af upstair unakuwa mweupe... ndio mana tunasema wazee mng'atuke mtuache vijana tuwaoneshe kazi.

mkuu thread ya Mnyika si ipo OPEN kule na kaelezea vizuri kabisa elimu yake na aliachia wapi elimu yake, mbona kuuliza swali lililo na jibu tayari? au tukuwekee LINK ya ile thread hapa? By the way, Wadau maswali wanayomuuliza NAPE ni maswali sahihi kabisa, atoe majibu ya Maswali husika kwa ufasaha, mie sishabikii Chadema wala CCM lakini maswali wanayouliza wadau ni maswali halisi na yanayohitaji majibu kamili na sio porojo tupu mkuu.
Kwa hivo kama unamsemea Nape hebu tupe majibu ya KUpata IV ya 29 na kusoma EGM, pia tujibu kuhusu kufanya research ya WHY watu hawakujitokeza kupiga kura while you are taking MPA (Masters ya Public Administration)... je vina-uhusiano?
kama umepata F ya Math, wawezaje kusoma EGM? wewe umesema ni msomi tena mwenye degree ya heshima, tafadhali tueleweshe sio tusioelewa haya mambo...
naomba tuelimishane kwa kutupa majibu ya maswali husika na sio maneno matupu ya kukwepa maswali.
 
Nahisi hujasoma,na kama umesoma ni katika ngazi ya chini sana(kama sivyo niwie radhi). Unapoona title au status ya shule/chuo sio lazima specifically iwe kinachofundishwa ni hicho unachoona kwenye title pekee,kwa mfano TTC sio lazima iwe ualimu pekee,kuna shule zinaitwa Technical school kwa mfano Moshi Technical,Tanga,lakini kuna wanafunzi wamesoma PCB katika shule hizi,hujaelewa nini.
mkuu just give up,kumtetea nape ni vigumu kwa hii cv,nakuhakikishia bila ku-clarify kwenye nchi zenye akili angekuwa kwenye uchunguzi mkali,yani hewa imechafuka vibaya kuhusu elimu ya nape na tunaanza kufatilia aliwezaje kufanya digrii kwa matokeo ushuzi haya!!!au ukada ulimsaidia?
 
tushukuru ujio wa technology maana umetuletea kitu kama Jamiiforums.
Bila kuwa na hii kitu hawa watu wangeendelea kutusumbua sana.

Haina maana mtu kushinda anaunga unga elimu kusudi likiwa kuja kututukania sisi 'tusiosoma'. Kama kweli mtu mwenye profile kama hiyo kwa tanzania anadeliver anacho deliver huyu bwana basi hizi 60% ya sifuri za Form IV ni manyunyu tu na mvua iko njiani.

Bora wengine wanaunga unga elimu ili wapate maarifa (na wapo wengi wamefanya hivyo) ya kuzalisha mali na kulipa kodi ili kuinua taifa badala ya hawa wapuuzi ambao wanaunga unga ili kutukana watu

 
Majibu ya swali lako,labda ungejibu na hili kwa niaba ya Mnyika(maana mwenyewe hawezi kujibu zaidi ya kutunga swali),Mnyika alitaka kupata Bachelor degree kwa matokeo yepi ya Form six? Au kwa kifupi,alijiunga chuo kwa matokeo yepi?Tujuze alipata credits gani kwenye masomo yote ya A-level.

Mkuu nafirikiri jipe mda ukasome tena ule uzi wa Mnyika ambaye alipata courage ya kuandika mwenyewe achilia mbali nape ambaye kamtuma Tandaleone. Mnyika f6 alipata div 2 kuhusu credit kwenye masomo yake hilo atajibu mwenye ila nawewe tunaomba utupe ya Nape ya F4 ambayo bado yanajikanganya kuwa alisoma EGM wakati alipata D na F
 
Na kama Nape alinunua cheti cha Form VI isihojiwe?

Mtu wa Shamba!
Kama ikithibitika Nape alinunua cheti cha mtu mwingine ashtakiwe mara moja na afungwe jela;Kuchukua cheti cha mtu mwingine na kukitumia kwa namna yyt ile ni kosa la jinai!

Lkn kama HAKUFANYA vyema form 4 & 6 lkn akajiendeleza kwa kudunduliza credits hadi zikafika na akaendelea na masomo ya elimu ya juu kihalali basi tumpongeza kijana wetu huyu!
 
Sasa alisoma vipi Diploma ya Mwalimu Nyerere akiwa na QT ya O level ?
Ndilo swali tunalotaka kujibiwa.

Kuna ukosefu wa maelezo katika elimu ya kidato cha nne (kwa kuwa pts 29 Division IV hairuhusu mtu afanye mitihani mingine ya juu), na kama alivuka kihunzi hicho tuelezwe alirukaje? Pia tujue vizuri A level alisoma lini na wapi.

Kuna uwezekano wa kununua au kughushi vyeti pia. Jinsi majibu yanavyochelewa ndivyo tunazidi kupata mashaka na hili.
 
Nafukuzana na huu uzi kiasi cha kushindwa kwenda lunch,yaani kila nikimaliza page moja nakuta zimeongezeka mbili na hapohapo Timu Nape naona ipo nyuma kwa 5-1
 
Kisheria ikithibitika kweli, mtu kapata div iv,points 29 with f in basic maths, halafu akasoma egm, bila kuwa na credit, basi hilo ni kosa la jinai, kwa kudanganya ama kufoji, hukumu yake ni kufutiwa matokeo ya form six na kufungiwa vyeti vya vyuo, kwani vilitokana na udanganyifu pamoja na jela kwa miaka kadhaa kutokana na hakimu atakavyojirizisha, hivyo nape take care,isije tokea siku moja watu wakawa serious kwenye hili, ukabaki na cv ya form four tu

mkuu hujasikia form six alipata daraja sifuri, sasa hapounataka afutiwe nini tena? huyo jamaa kichwani hamna kitu kabisa hatA ANAYOONGEAGA HUYASIKIAGI? vyeti vya chuo alivyonavyo usikute hata havitambuliki.
 
Mtu wa Shamba!
Kama ikithibitika Nape alinunua cheti cha mtu mwingine ashtakiwe mara moja na afungwe jela;Kuchukua cheti cha mtu mwingine na kukitumia kwa namna yyt ile ni kosa la jinai!

Lkn kama HAKUFANYA vyema form 4 & 6 lkn akajiendeleza kwa kudunduliza credits hadi zikafika na akaendelea na masomo ya elimu ya juu kihalali basi tumpongeza kijana wetu huyu!
Ndio maana tunataka uwazi hapa.
 
Kweli Jf tamu sana Tandaleone kakimbia na kaanzisha tena thread nyingne ya elimu ya Dr.... Yan kwel uelewa sio vyeti.
 
BUTIMBA TTC ni chuo cha ualimu lakini ni center ya kufanyia mitihani kwa wanafunzi ambao hawako mashuleni.,na hili ni kwa sababu Mheshimiwa Nape hakuwa ameendelea na sekondari kwa mtindo wa Boarding School.,kwa kuwa hakupenda kuendelea kukaa boardingi hivyo aliyasoma masomo yake ya high level akiwa nyumbani na kisha kwenda chuoni hapo kufanya mtihani wa form six.
Leo unalo hilo,unataarifa kuwa alipata FOUR YA POINT 29 ?????????ALIWEZAJE KUSOMA EGM??????????????maskini povu linakutoka tu.
 
hata siku moja haijawahi kutokea matokeo ya sekondari katika CV. Wewe unapaswa kutambua Nape ana masters degree yatosha, wakati mwenezi wenu (Mnyika) ni form six

Kwahiyo kwasababu hayatokei kwenye cv ndo muyafinyange?Mmeshikwa baya mkuu!:rockon:Mwongo mpe muda!
 
Back
Top Bottom