Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,786
- 1,715
Ni center ya Private candidates. Lakini sio shule ya kusomea A level.Mtu wa Shamba,
Una uhakika hiyo Butimba sio center ya mitihani ya A-level pia?
Kwa muda mrefu sasa vyuo vya ualimu pia ni center ya mitihani ya form four na six.
Muhimu hapa ni kuangalia je huo mwaka 2000 kweli nape alifanya mitihani hiyo? Lakini hili la kwamba Butimba sio A-level nafikiri mnapoteza nguvu bure. Vyuo vyote sasa vina centers za mitihani. Ukitaka ingia website ya NECTA na angalia kama kuna center ya mitihani ya Butimba.
Sijakanusha Butimba TTC kuwa center ya mitihani.