Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,786
- 1,715
Ni center ya Private candidates. Lakini sio shule ya kusomea A level.Mtu wa Shamba,
Una uhakika hiyo Butimba sio center ya mitihani ya A-level pia?
Kwa muda mrefu sasa vyuo vya ualimu pia ni center ya mitihani ya form four na six.
Muhimu hapa ni kuangalia je huo mwaka 2000 kweli nape alifanya mitihani hiyo? Lakini hili la kwamba Butimba sio A-level nafikiri mnapoteza nguvu bure. Vyuo vyote sasa vina centers za mitihani. Ukitaka ingia website ya NECTA na angalia kama kuna center ya mitihani ya Butimba.
safi nape kumbe ni msomi mzuri tu.
Na kama Nape alinunua cheti cha Form VI isihojiwe?Elimu ni elimu hata kama kahitimu kwa msuli(Rejea degree za uongo za akina Nchimbi/Kamala)
Hongera sana Nape kwa kutokata tamaa!CHADEMA tusipinge kila kitu jamani na ni wakati huu sasa tumshauri MB Mnyika amalize degree yake!
sisi ndio vijana wa dot com wewe, sio unakuwa mzee hapa jf af upstair unakuwa mweupe... ndio mana tunasema wazee mng'atuke mtuache vijana tuwaoneshe kazi.
Ni center ya Private candidates. Lakini sio shule ya kusomea A level.
Sijakanusha Butimba TTC kuwa center ya mitihani.
Tulia sehemu moja usichezecheze hatujamalizana na Nape acha papara umechanganyikiwa mara hii????tunaomba na cv ya vicent nyerere na sugu
mkuu just give up,kumtetea nape ni vigumu kwa hii cv,nakuhakikishia bila ku-clarify kwenye nchi zenye akili angekuwa kwenye uchunguzi mkali,yani hewa imechafuka vibaya kuhusu elimu ya nape na tunaanza kufatilia aliwezaje kufanya digrii kwa matokeo ushuzi haya!!!au ukada ulimsaidia?Nahisi hujasoma,na kama umesoma ni katika ngazi ya chini sana(kama sivyo niwie radhi). Unapoona title au status ya shule/chuo sio lazima specifically iwe kinachofundishwa ni hicho unachoona kwenye title pekee,kwa mfano TTC sio lazima iwe ualimu pekee,kuna shule zinaitwa Technical school kwa mfano Moshi Technical,Tanga,lakini kuna wanafunzi wamesoma PCB katika shule hizi,hujaelewa nini.
Majibu ya swali lako,labda ungejibu na hili kwa niaba ya Mnyika(maana mwenyewe hawezi kujibu zaidi ya kutunga swali),Mnyika alitaka kupata Bachelor degree kwa matokeo yepi ya Form six? Au kwa kifupi,alijiunga chuo kwa matokeo yepi?Tujuze alipata credits gani kwenye masomo yote ya A-level.
Na kama Nape alinunua cheti cha Form VI isihojiwe?
Ndilo swali tunalotaka kujibiwa.Sasa alisoma vipi Diploma ya Mwalimu Nyerere akiwa na QT ya O level ?
Kisheria ikithibitika kweli, mtu kapata div iv,points 29 with f in basic maths, halafu akasoma egm, bila kuwa na credit, basi hilo ni kosa la jinai, kwa kudanganya ama kufoji, hukumu yake ni kufutiwa matokeo ya form six na kufungiwa vyeti vya vyuo, kwani vilitokana na udanganyifu pamoja na jela kwa miaka kadhaa kutokana na hakimu atakavyojirizisha, hivyo nape take care,isije tokea siku moja watu wakawa serious kwenye hili, ukabaki na cv ya form four tu
Ndio maana tunataka uwazi hapa.Mtu wa Shamba!
Kama ikithibitika Nape alinunua cheti cha mtu mwingine ashtakiwe mara moja na afungwe jela;Kuchukua cheti cha mtu mwingine na kukitumia kwa namna yyt ile ni kosa la jinai!
Lkn kama HAKUFANYA vyema form 4 & 6 lkn akajiendeleza kwa kudunduliza credits hadi zikafika na akaendelea na masomo ya elimu ya juu kihalali basi tumpongeza kijana wetu huyu!
Leo unalo hilo,unataarifa kuwa alipata FOUR YA POINT 29 ?????????ALIWEZAJE KUSOMA EGM??????????????maskini povu linakutoka tu.BUTIMBA TTC ni chuo cha ualimu lakini ni center ya kufanyia mitihani kwa wanafunzi ambao hawako mashuleni.,na hili ni kwa sababu Mheshimiwa Nape hakuwa ameendelea na sekondari kwa mtindo wa Boarding School.,kwa kuwa hakupenda kuendelea kukaa boardingi hivyo aliyasoma masomo yake ya high level akiwa nyumbani na kisha kwenda chuoni hapo kufanya mtihani wa form six.
hata siku moja haijawahi kutokea matokeo ya sekondari katika CV. Wewe unapaswa kutambua Nape ana masters degree yatosha, wakati mwenezi wenu (Mnyika) ni form six