Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
usomi wa Dr.Kawambwa ni genius level,muulize SLAA(Wilboard)
Lazima una div zero wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usomi wa Dr.Kawambwa ni genius level,muulize SLAA(Wilboard)
wale masalia wanaomteteaga Nappe wako wapi.?
tehe.tehee...teheeee!Mkuu inaelekea unamfahamu vilivyo huyu KILAZAKwenye sivii mbona hawajaeleza jinsi alivyoteswa na gono sugu?
Mkuu ile post ya Mnyika uliipitia? Nadhani aliweka wazi kutomaliza chuo kwa sababu za hapa na
Pale sasa sielewi matokeo gani tena ya chuo kikuu.... Na huyu Nape did he step to university by any chance?? Sijasikia as nimeona ni diploma mbili tatu..... Hivi Watanzania tumelogwa au? Tunaacha kujadili mambo ya maana ya maemdeleo eti tunajikita na mara elimu ya Nape, Mnyika, mama baba wa Nape, baba wa Slaa..... Mkuu hebu saidia mie kichwa kinauma kwa hili.... Matokeo ya form four tatizo, hospitali zetu tatizo,
Hivi ccm bado wapo????? mimi nilishasahau kama kuna ccm
MMh, Butimba TTC ilikuwa na high school? Hakikuwa chuo cha ualimu kile??
Anyway, hata uwe na Phd kama hamnazo za maisha hazimo tu.
Hii ni serious kuliko unavyodhani.Hizi thread nyingine ni burudani tu mkuu. Usizichukulie serious sana. Hatuwezi muda wote kuwa tunaongea mambo serious tu, lazima wakati mwingine tunapiga stroy za kijiweni kama hizi...
Siasa za nani alipata degree or not ,hazina mantiki kwa sasa kwani iko wazi CCM ina wasomi wengi na wenye uwezo mkubwa kuliko CHADEMA.
Upeo wa kisiasa na kitaaluma ni vitu viwili tofauti,mfano mzuri ni Dr.Kawambwa ni mtekelezaji wa objectives,hajui porojo za kisiasa ,hana sababu za kutafuta umaarufu kwenye media kama J.Mnyika na ZZK.
Miradi mingi katika wizara zote alizowahi kuongoza ameacha matunda mazuri .
Jambo la msingi,turudi kwenye maadili ya mtanzania,tuwaepushe watoto na starehe za mapema ili wawe makini ktk elimu.
Wanafunzi wengi wanatumia muda mwingi ktk starehe ndiyo maana wamefeli.
Mimi nimesoma chuo ambacho kiliweka sheria kali yakutotumia simu uwapo darasani,ukibainika ilikuwa unanyang'anywa nakupelekwa kwa Principal,wengi tulitii sheria hiyo na kuwa makini darasani.
Hiyo ni university level,lakini tulipokuwa Advance Level tulikuwa huru tukionyeshana umaarufu wa kuvaa nguo(pamba) na kuwa na mademu wengi,hakika matokeo yalikuwa ni mabaya sana licha ya wanafunzi wengi kuwa na uwezo mzuri darasani kwani nilibaini majority tuliingia tukiwa na Division One na Two lakini mambo yalikuwa kinyume kwenye Final(Wengi walipata Zero).
Facebook,Twitter,SMS kwenye SIMU na NGONO za utoto zimewafelisha watoto wetu,BUNGE liunde kamati na kuwasilisha muswaada utakao nasua akili za watoto wa kitanzania.
2pe matokeo yake ya olev na a level ili cv ikamilike
nawe utakuwa mtahiniwa wa tatukutokana na mabishano ya mda mrefu kwenye mitandao kuhusiana na uwezo wa kielimu juu ya hawa wana siasa wetu,nashauri utungwe mtihani kisha hawa jamaa wafanye tuone nani kilaza.wahusika kwakuwa wote wapo humu naomba mthibitishe utayari wenu wa kushiriki mtihani
Hii ni serious kuliko unavyodhani.
Ukosefu wa maelezo ya namna Nape alivyovuka kikwazo cha kutokuwa na credit za kufanya mtihani wa Form VI unampa doa Nape. Vile vile kukosekana maelezo ya kuridhisha ya elimu yake ya Form VI ni fumbo jingine kubwa. Tunapata hisia za uwezekano wa kughushi vyeti au udanganyifu mwingine. Integrity ya Nape inahojiwa hapa.
Ni serious kuliko unavyodhani, na haitaishia hapa JF, mpaka habari za uhakika zimepatikana