Diploma ya mwaka mmoja au certificate?
Hatujui tumwamin yupi hapa
msiwe mnakashfu elimu za wapinzani wenu bila kujua kama baadhi ya viongozi wenu pia wana elimu ya chini,, kuongoza sio elimu,, viongozi wengi walofanikiwa hawana PHD,, unamkashifu baba wa mwenzio kuwa anakagari ka zamani wakati baba yako hata baiskeli hana,, baba yako akiiona message si atajua unamdharau,, chungegi kauli zenu

Kumekuwepo na habari ambayo inavumishwa katika mitandao ya kijamii hasa hapa Jamiiforums kuhusu Elimu ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikati na Uenezi, Ndugu Nape Moses Nnauye. Taarifa hiyo kwa kiasi kikubwa inapotosha na kueleza yale ambayo si sahihi kuhusiana na CV ya Kiongozi huyo wa Chama cha Mapinduzi; Kutokana na Hilo, nimeona ni jambo la busara kuwasaidia wanajamvi kwa kuwapa CV iliyo sahihi ya Nape Moses Nnauye kama ifuatavyo;
NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika thesis iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)
- Kati ya mwaka 1987-1989 alianza elimu yake ya msingi katika shule ya Msingi Mwanga-iliyopo Iramba Singida (ambapo alianza darasa la 1 mpaka 3)
- Mwaka 1989-1993 aliendelea na kumalizia elimu ya msingi katika shule ya Bukumbi iliyopo misungwi Mwanza.(ambako alikuwa ni kati ya wanafunzi watatu 3 kati ya 120 waliochaguliwa sekondari.
- Mwaka 1994-1995 alianza elimu ya Sekondari katika shule ya kutwa ya Ngudu Sekondari.(ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha pili)
- Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne)
- Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC
- Mwaka 2001-2002 alisoma Diploma ya sayansi ya jamii katika Chuo Cha sayansi ya Jamii-Kivukoni.
- Mwaka 2002-2003 alisomea Diploma ya Diplomasia na uhusiano wa Kimataifa Chuo cha Diplomasia Dar es salaam.
- Mwaka 2005-2008 alisomea digrii ya Saikolojia, Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha Bangalore-India
- Mwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe.
Omba kwanza Jah watu -MakaCCM na kule Roryatunaomba na cv ya vicent nyerere na sugu

Aliyesomea dini,ende kwenye dini,aliyesomea siasa,ende kwenye siasa,Haya mambo ndio hayo acheni matusi ya reja reja kwa kijana wetu, tumempa kazi kwa kumuamini sio kwa u-godifaza maana wengine wakiona jina lake likiwa na Nnauye wanadhani kafadhiliwa hapana, amethubutu na ameweza sasa ni kusonga mbele. SASA KAMA NI TISHIO KWENU kaeni mkao wa kula maana huyo ni miongoni mwa vinara wetu kuelekea 2015 anaijua siasa ya akina... kwa kusomea na uzoefu.
NAPE NNAUYE
DIV IV-29
KISW D, HIST D, GEOG D, ENG F, B/MATH F, BIOL D, CHEM D, PHY D, CIV F
hahahahahaaaaaaaaaaaa ndio kwa usomi huu watoto wetu watafaulu kwel??????????????
[/QUOT
Kwa CV yake inavyoonesha aliendelea na A'level mwaka uliofuata si kweli kwani credit hizi na restirction za kufanya mtihani wa F6 ni "C" tatu lazima kuna mahali ameghushi vyeti. Its so simple. Nenda katika vyuo alivyosoma chomoa katika faili lake vyeti vilivyompa kuruhusiwa kufanya mtihani lazima vitakuwa ni feki, weka hadharani. Hapo ni mwisho wa mchezo. Si fahamu historia ya huyu mtu, lakini kwa maelezo haya na performance yake inatosha kujua amedanganya mahala pengi tu. Si busara kufumbia macho haya kesho huyu atapewa dhamana kubwa na atafanya maamuzi ya kibabe yenye kulingana na akili zake na tukaumia wote.