Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

Diploma ya mwaka mmoja au certificate?

msiwe mnakashfu elimu za wapinzani wenu bila kujua kama baadhi ya viongozi wenu pia wana elimu ya chini,, kuongoza sio elimu,, viongozi wengi walofanikiwa hawana PHD,, unamkashifu baba wa mwenzio kuwa anakagari ka zamani wakati baba yako hata baiskeli hana,, baba yako akiiona message si atajua unamdharau,, chungegi kauli zenu
 
Hatujui tumwamin yupi hapa

Mkuu ili uamini kuwa hakuna Dip. ya mwaka mmoja. Anglia hapa

An Ordinary Diploma in International Relations and Diplomacy (NTA Level 5 and 6)

This is a two-year programme which aims at enabling graduates to apply knowledge and skills in International Relations and Diplomacy at work places. The graduates can work independently under the supervision of qualified professionals in public, private and Non-governmental Organizations (NGOs).

Pia, Kivukoni hakuna Diploma ya Sayansi ya Jamii labda Mwl. Nyerere, Kule Kigamboni pale ni Masekretari tu.

Mwalimu Nyerere Kigamboni

Sasa tunapopata taarifa za uzushi inakuwa sio hasa katika miaka ya wasomi kama hii.

Mi binafsi sioni kama ana-qualification ya kuitwa msomi kama hana sifa zinazoweza kushawishi wasomi.

Angalia CV hivyo ilivyoandikwa, inaashiria kuwa ni msomi????

[TABLE="width: 535"]
[TR]
[TD="width: 91"][/TD]
[TD="width: 444"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 91"][/TD]
[TD="width: 444"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 91"][/TD]
[TD="width: 444"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 91"][/TD]
[TD="width: 444"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 91"][/TD]
[TD="width: 444"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 91"][/TD]
[TD="width: 444"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 91"][/TD]
[TD="width: 444"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 91"][/TD]
[TD="width: 444"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
msiwe mnakashfu elimu za wapinzani wenu bila kujua kama baadhi ya viongozi wenu pia wana elimu ya chini,, kuongoza sio elimu,, viongozi wengi walofanikiwa hawana PHD,, unamkashifu baba wa mwenzio kuwa anakagari ka zamani wakati baba yako hata baiskeli hana,, baba yako akiiona message si atajua unamdharau,, chungegi kauli zenu

Mkuu,

Sawa unachosema hatusemi hana elimu ila watu wanauliza uhalali wa elimu. Uongozi sio elimu kwa wakati mwingine ni kama vile elimu ya Zuma ya Darasa la nne na hajawahi sema ana shahada yoyote.

Huku kuna tatizo mkuu, Nchimbi kaitwa Dr wakati hajasoma, Kamala balozi wetu kule Ubelgiji pia amekuwa Dr wakati hajasoma. Wote ni chuo cha MU.

Sasa ndo watu wana-trace kama huyu naye ana elimu halali ya kuitwa msomi tena Mzumbe pale pale.
 
Kati ya mwaka 1987-1989 alianza elimu yake ya msingi katika shule ya Msingi Mwanga-iliyopo Iramba Singida (ambapo alianza darasa la 1 mpaka 3)
Mwaka 1989-1993 aliendelea na kumalizia elimu ya msingi katika shule ya Bukumbi iliyopo misungwi Mwanza.(ambako alikuwa ni kati ya wanafunzi watatu “3” kati ya 120 waliochaguliwa sekondari.
Mwaka 1994-1995 alianza elimu ya Sekondari katika shule ya kutwa ya Ngudu Sekondari.(ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha pili)
Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne)
Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC
Mwaka 2001-2002 alisoma Diploma ya sayansi ya jamii katika Chuo Cha sayansi ya Jamii-Kivukoni.
Mwaka 2002-2003 alisomea Diploma ya Diplomasia na uhusiano wa Kimataifa –Chuo cha Diplomasia Dar es salaam.
Mwaka 2005-2008 alisomea digrii ya Saikolojia, Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha Bangalore-India
Mwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe.
hapo kwenye bluu ni amecook mambo ila kiuhalisia alikuwa jinga la kufeli mitihani ya kuvusha pr na sec
hapo kwenye red hapo elezea alisoma shule gani advance hatukatai ila eleza shule aliyosoma
na hapo kwenye green hizo zinaitwa certificate na sio aibu kupitia huko ni njia tuu nashangaa kwa nini mmemodifai hapo au ndio akili zenu ccm kila kitu ujanjaujanja wa kijinga.
sasa hapo embu tupe matokeo yake tujue uelewa wake
 
hatujakashifu elimu yake tumekashifu alivyofoji elimu yake na kujipa majina makubwa asiyoyastahili kasoma setifiketi anaandika kasoma diploma si upumbavu huu? au na wewe pumbavu huoni kuwa ni makosa hayo..mbona sugu anasema hajasoma na tunakubali tatizo maccm mnajipa majina mkubwa ya kielimu wakati ni majina ya hisani na haman elimu hizo... pumbavu wewe kuwa mtu mzima na ujue kufunguka pumbavu wewe nyoko wewe
msiwe mnakashfu elimu za wapinzani wenu bila kujua kama baadhi ya viongozi wenu pia wana elimu ya chini,, kuongoza sio elimu,, viongozi wengi walofanikiwa hawana PHD,, unamkashifu baba wa mwenzio kuwa anakagari ka zamani wakati baba yako hata baiskeli hana,, baba yako akiiona message si atajua unamdharau,, chungegi kauli zenu
 
Kumekuwepo na habari ambayo inavumishwa katika mitandao ya kijamii hasa hapa Jamiiforums kuhusu Elimu ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikati na Uenezi, Ndugu Nape Moses Nnauye. Taarifa hiyo kwa kiasi kikubwa inapotosha na kueleza yale ambayo si sahihi kuhusiana na CV ya Kiongozi huyo wa Chama cha Mapinduzi; Kutokana na Hilo, nimeona ni jambo la busara kuwasaidia wanajamvi kwa kuwapa CV iliyo sahihi ya Nape Moses Nnauye kama ifuatavyo;

  • Kati ya mwaka 1987-1989 alianza elimu yake ya msingi katika shule ya Msingi Mwanga-iliyopo Iramba Singida (ambapo alianza darasa la 1 mpaka 3)
  • Mwaka 1989-1993 aliendelea na kumalizia elimu ya msingi katika shule ya Bukumbi iliyopo misungwi Mwanza.(ambako alikuwa ni kati ya wanafunzi watatu “3” kati ya 120 waliochaguliwa sekondari.
  • Mwaka 1994-1995 alianza elimu ya Sekondari katika shule ya kutwa ya Ngudu Sekondari.(ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha pili)
  • Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne)
  • Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC
  • Mwaka 2001-2002 alisoma Diploma ya sayansi ya jamii katika Chuo Cha sayansi ya Jamii-Kivukoni.
  • Mwaka 2002-2003 alisomea Diploma ya Diplomasia na uhusiano wa Kimataifa –Chuo cha Diplomasia Dar es salaam.
  • Mwaka 2005-2008 alisomea digrii ya Saikolojia, Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha Bangalore-India
  • Mwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe.
NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika “thesis” iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)

unajidai unajua kutunga CV za watu afu unakosea yeye mwenyewe akiitwa hapa atakukana maana ataonekana kuwa ni kilaza na hajui hata alichosoma.......... rejea maneno yako niliyoyakoleza kwa wino mwekundu hapo juu...... hupewi ukuu wa wilaya ng'oooooooooo........
 
Wakati mwingine hakuna uhusiano kati ya mafanikio ktk elimu darasani na upeo halisi wa kuona mambo kiuhalisia, huku kwetu musoma, wapo watu wanaume wameenda jando la asili na mambo ya kimila lakini si jasiri utadhani hawakupitia mafunzo hayo kabisa, utadhani walitahiriwa hospitalini. Mapungufu ya nape hayatokani na elimu yake ya darasani isipokuwa jitihada dhaifu za utambuzi ambazo yeye na maisha legelege alimoishi, vimemdekeza, kumkuza na hatimaye kumjenga ktk hekma na busara dhaifu za kumpofusha km ambavyo sasa ni kipofu na dhaifu kuliko chama chama chake cha ccm, na ofcourse, ccm ni imara na imekuwa imara na shupavu kuliko nape, bila nape!
 
Kila ntapoikuta hii mada ntauliza hili swali hadi nijibiwe
nauliza tena kwa mara 2 hii ni CV au WASIFU!
 
Masomo yote aliyosoma hayana uhusiano hata kidogo.....who is expert in everything is exepert in nothing
 
Dr ukifanya mdahalo wowote na kilaza nahum tutakuhukumu na katika mahakama yetu ya umma.
 
Kumekuwepo na habari ambayo inavumishwa katika mitandao ya kijamii hasa hapa Jamiiforums kuhusu Elimu ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikati na Uenezi, Ndugu Nape Moses Nnauye. Taarifa hiyo kwa kiasi kikubwa inapotosha na kueleza yale ambayo si sahihi kuhusiana na CV ya Kiongozi huyo wa Chama cha Mapinduzi; Kutokana na Hilo, nimeona ni jambo la busara kuwasaidia wanajamvi kwa kuwapa CV iliyo sahihi ya Nape Moses Nnauye kama ifuatavyo;

  • Kati ya mwaka 1987-1989 alianza elimu yake ya msingi katika shule ya Msingi Mwanga-iliyopo Iramba Singida (ambapo alianza darasa la 1 mpaka 3)
  • Mwaka 1989-1993 aliendelea na kumalizia elimu ya msingi katika shule ya Bukumbi iliyopo misungwi Mwanza.(ambako alikuwa ni kati ya wanafunzi watatu “3” kati ya 120 waliochaguliwa sekondari.
  • Mwaka 1994-1995 alianza elimu ya Sekondari katika shule ya kutwa ya Ngudu Sekondari.(ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha pili)
  • Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne)
  • Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC
  • Mwaka 2001-2002 alisoma Diploma ya sayansi ya jamii katika Chuo Cha sayansi ya Jamii-Kivukoni.
  • Mwaka 2002-2003 alisomea Diploma ya Diplomasia na uhusiano wa Kimataifa –Chuo cha Diplomasia Dar es salaam.
  • Mwaka 2005-2008 alisomea digrii ya Saikolojia, Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha Bangalore-India
  • Mwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe.
NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika “thesis” iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)

mkuu, hapo penye red tuko pamoja ila mwaka 2004 hakuna taarifa au umepitiwa au alipumzika kidogo masomo! tujuze kwa ukamilifu tafadhali, halafu 2009-2010 ni mwaka mmoja, sidhani kama hawa mzumbe huwa wanatoa shahada ya uzamili ya mwaka mmoja, huwa ni miezi 18 na kendelea.
 
mimi huwa nasemaga cku zote ukimwona mbwa juu ya mti ujue kapandishwa huyo.
 
msaada hapo kwenye advanced level na butimba ttc cjapaelewa vizuri kuwa advanced level miaka mingapi na butimba miaka mingapi????
 
msomi wapi kafeli kila mara na jina sio lake anaitwa nahumu nauye ,, alipelekwa india kwa msaada wa serikali kwenye vyuo feki huko hana lolote ni kilaza waulize watu wanamjua hana lolote aweke vyeti vyake vya form four na six akiwa amepata ata three najinyonga leo
 
Haya mambo ndio hayo acheni matusi ya reja reja kwa kijana wetu, tumempa kazi kwa kumuamini sio kwa u-godifaza maana wengine wakiona jina lake likiwa na Nnauye wanadhani kafadhiliwa hapana, amethubutu na ameweza sasa ni kusonga mbele. SASA KAMA NI TISHIO KWENU kaeni mkao wa kula maana huyo ni miongoni mwa vinara wetu kuelekea 2015 anaijua siasa ya akina... kwa kusomea na uzoefu.
Aliyesomea dini,ende kwenye dini,aliyesomea siasa,ende kwenye siasa,
 
NAPE NNAUYE
DIV IV-29
KISW D, HIST D, GEOG D, ENG F, B/MATH F, BIOL D, CHEM D, PHY D, CIV F

hahahahahaaaaaaaaaaaa ndio kwa usomi huu watoto wetu watafaulu kwel??????????????
[/QUOT
Kwa CV yake inavyoonesha aliendelea na A'level mwaka uliofuata si kweli kwani credit hizi na restirction za kufanya mtihani wa F6 ni "C" tatu lazima kuna mahali ameghushi vyeti. Its so simple. Nenda katika vyuo alivyosoma chomoa katika faili lake vyeti vilivyompa kuruhusiwa kufanya mtihani lazima vitakuwa ni feki, weka hadharani. Hapo ni mwisho wa mchezo. Si fahamu historia ya huyu mtu, lakini kwa maelezo haya na performance yake inatosha kujua amedanganya mahala pengi tu. Si busara kufumbia macho haya kesho huyu atapewa dhamana kubwa na atafanya maamuzi ya kibabe yenye kulingana na akili zake na tukaumia wote.
 
Back
Top Bottom