Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

hapo ndio watu wanapodondokewa na kitu chenye ncha kali.. tunaomba na wengine mnapokuja na siasa za elimu zenu msisahau kuonyesha kipengele hicho yaani KIWANGO CHA JUU CHA ELIMU YAKO, HATA KAMA STD SEVEN NDIO MAJAALIWA YAKO

Hata hvyo Mzumbe hawana course ya Masters ya Miezi 12.
 
cku zote, njia ya mwongo ni fupi. eti alimaliza EGM butimba. Butimba hakuna shule ya advance wewe, na shule iliyopo imejengwa 15 haijatimiza. nimezaliwa Butimba chuoni! then magogoni hakuna chuo cha sayansi ya jamii. Vile vile hakuna masters ya mwaka 1 mzumbe. njia ya mwongo fupi. Hebu wekeni na kopy za vyeti, mctudanganye cc ambao tumepitia huko. mayb India kasoma maana kwawenzetu digrii ni pesa tu, haijalishi ufaulu wako.
 
Kajaga88 uko sahihi. Mwaka anaosema nape alikuwa butimba nilikuwa pale na hakukuwa na hicho kitu A level. Hata resiters hawakuwa registered na kituo. A level walikuwa wanatokana na ile kozi ya UGAD ambayo nape hakuisoma
 
shida yangu ni namna alivyosoma kwa kuungaunga. kwani alikuwa na shida gani? mtoro nini?
 

Tunataka grades alipata division gani? Form IV na Form VI? Na atupe performance ya masomo tujue upeo wake wa akili maana inaonyesha upro wake ni mdogo sana
 
Umenikumbusha mbali sana na ufupi wa afande mwakyosi na maneno mengi na kujitia mkali lkn alikuwa poa ila mkwala kwa sana.Na nyahenge la mafinga,winter ya ulaya nyingine mtotoHuenda na kufahamu kama ulikuwa timu Conel Mlay na major mande. Mwakyosi akiita majina na AWOOO yake!BADALA YA AWL!
 
NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika “thesis” iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)[/QUOTE]

NB. Kuna taarifa ya ambazo hazijathibitishwa ya kwamba thesis kuhusu GOLI LA MKONO wakati wa uchaguzi wa 2015.
 

sio mbaya kwa mwanasiasa wa Tanzania

Lakini sasa huu upuuzi na uropokaji kausome wapi huyu dogo??
 

Butimba mkuu?au alivyosikia kateuliwa kakutumia fasta utufix.
 
Tandalaone,

Ninapokusoma between the lines naona kama wewe ndiye Nepi mwenyewe kabisa.
Wewe unapoteza muda wako bure kudanganya watu wenye elimu zao, hekima na busara ambao wamekuacha kwa mbali sana hata kwa akili ya kawaida tu.

Hii yote inaonyesha ni elimu ya kuunga unga wala haina mtiririko unaoeleewka. Nchi hii watu wote wanajua Butimba TTC ni chuo cha Ualimu( Butimba Teachers Training Centre) tangu enzi za Mwalimu. Sasa wewe tukikuuliza ni lini Butimba TTC kiligeuzwa kuwa High School?

Inaawezekana vipi mtu anasoma Masters ya Public Administaration anafanya Thesis ya Wapiga Kura???Mtu aliyekwenda shule utajua tu hata anapoongea. Kazi ya Nepi ni ku

Kwa kifupi ni kwamba Nepi Nauye ni kibuyu na huo Uwaziri hatafanya lolote pale. Watanzania tegemeeni madudu kama ya kuzifungia media zisiandike ukweli kuhusu Tanzania. Tegemeeni magazeti kama Mwanahalisi. Mawio, Tanzania Daima, Mwananchi, Nipashe n.k yakipelekwa mahabusu.

Tusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…