Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye


The poorest qualifications onearth, very shame elimu ya kuungaunga ya ugoko eti CV???????????????

Very jointed education in pieces, viraka vya kutosha.
 
Nimegundua kumbe elimu yetu inaendeshwa kifigisufigisu!, mara wanafuta masomo fulani, mara gpa iko hivi, mara tufanye maabara, mawaziri walikuwa aina ya Nape!
 
TandaleOne Master of Business Administration na sababu zinazochangia ushiriki wa wapiga kura zina uhusiano gani? Angefanya "Reasons lead to poor performance of public corporations" hii kidogo ingelandana na hiyo master yake @Nnauye Jr
Umemsoma vibaya. Si MBA ni MPA!
 
Inawezekana kumaliza Butimba TTC unapofanya mtihani kama Private Candidate, hivyo msishangae.
 

Emmamkoloni,issue siyo cheti ,au CV issue ni ukweli alimaliza hiyo form six?Je alifoji vyeti vyake??Na kama alifoji hivi masuala ya wanasiasa kufoji vyeti ili kujipatia ujiko kwanini viendelezwe??Ifike mahali tumchague mtu si kwa sababu ya vyeti vyake bali ukweli kuhusu vyeti vyake.Ni bora useme umamaliza darasa la saba kila mtu hata jisumbua lakini si kutudanganya watanzania.
 
Zamani bright guy walikuwa wanasoma dip 3 year kama ilivyo kuwa kwa bright std 7 walikuwa wanasoma miaka4
 
HAPO KWENYE RED....BUTIMBA TTC SI CHUO CHA UALIMU JAMAN...AU TUSEME BUTIMBA TTC SECONDARY SCHOOL?..
kajipange upya urudi tena na kiwango cha ufaulu kwa kila level hasa hasa sekondari
Kina Secondary Evening Class ingawa sina uhakika kuna A'Level .
 
Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC

fafanua hapa usikurupuke kama umekula maharage gani
 

Tatizo la Nape sio ukosefu wa elimu bali makuzi yaliyomfanya kuwa mpenda mipasho, kejeli na kuropoka. Kabla ya kutafakari; hata siku yake ya kwanza bungeni hakuchelewa kufyatuka!!
Tumuombee "ajirekebishe" sasa, vinginevyo ajiandae kuwa waziri wa kwanza wa awamu ya 5 kufanya sherehe ya kufukuzwa kazi! Best wishes Nnape Moses Nnauye
 
TandaleOne Master of Business Administration na sababu zinazochangia ushiriki wa wapiga kura zina uhusiano gani? Angefanya "Reasons lead to poor performance of public corporations" hii kidogo ingelandana na hiyo master yake @Nnauye Jr

MPA ni Master of business administration? hapo ngachoka kabsa!
 
Sion haja ya kukebei cv ya nape,za kwenu mbona hamzileti hapa tukaziona,watu wanamtindo.wa kuchukuliana poa sana bila kujua undani wa mtu,sasa mlijua nape form two au,kabla hujafungua lijidomo lako kushutumu fanya utafiti ndo uoate la kusema.wivu mbaya sana
 
Na wale machangudoa na mashoga wenye madigrii kumikumi wao wana nini vichwani? Hawako uchi vichwani mwao? Huyo alieishia form 4 ameajiri wasomi watatu, hao wenye madigrii wamekua mashoga na machangudoa.wepi wanahitaji maombezi ya mlima wa moto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…