Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

Kumekuwepo na habari ambayo inavumishwa katika mitandao ya kijamii hasa hapa Jamiiforums kuhusu Elimu ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikati na Uenezi, Ndugu Nape Moses Nnauye. Taarifa hiyo kwa kiasi kikubwa inapotosha na kueleza yale ambayo si sahihi kuhusiana na CV ya Kiongozi huyo wa Chama cha Mapinduzi; Kutokana na Hilo, nimeona ni jambo la busara kuwasaidia wanajamvi kwa kuwapa CV iliyo sahihi ya Nape Moses Nnauye kama ifuatavyo;

  • Kati ya mwaka 1987-1989 alianza elimu yake ya msingi katika shule ya Msingi Mwanga-iliyopo Iramba Singida (ambapo alianza darasa la 1 mpaka 3)
  • Mwaka 1989-1993 aliendelea na kumalizia elimu ya msingi katika shule ya Bukumbi iliyopo misungwi Mwanza.(ambako alikuwa ni kati ya wanafunzi watatu ?3? kati ya 120 waliochaguliwa sekondari.
  • Mwaka 1994-1995 alianza elimu ya Sekondari katika shule ya kutwa ya Ngudu Sekondari.(ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha pili)
  • Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne)
  • Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC
  • Mwaka 2001-2002 alisoma Diploma ya sayansi ya jamii katika Chuo Cha sayansi ya Jamii-Kivukoni.
  • Mwaka 2002-2003 alisomea Diploma ya Diplomasia na uhusiano wa Kimataifa ?Chuo cha Diplomasia Dar es salaam.
  • Mwaka 2005-2008 alisomea digrii ya Saikolojia, Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha Bangalore-India
  • Mwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe.
NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika ?thesis? iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)

The poorest qualifications onearth, very shame elimu ya kuungaunga ya ugoko eti CV???????????????

Very jointed education in pieces, viraka vya kutosha.
 
Nimegundua kumbe elimu yetu inaendeshwa kifigisufigisu!, mara wanafuta masomo fulani, mara gpa iko hivi, mara tufanye maabara, mawaziri walikuwa aina ya Nape!
 
TandaleOne Master of Business Administration na sababu zinazochangia ushiriki wa wapiga kura zina uhusiano gani? Angefanya "Reasons lead to poor performance of public corporations" hii kidogo ingelandana na hiyo master yake @Nnauye Jr
Umemsoma vibaya. Si MBA ni MPA!
 
Inawezekana kumaliza Butimba TTC unapofanya mtihani kama Private Candidate, hivyo msishangae.
 
Sidhani kama kuna sababu ya msingi ya kupata cv za Sugu na Vicent Nyerere. Vicent alikuwa mbunge, Sugu anaendelea kuwa mbunge. Sifa namba moja ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika tena Kiswahili, (rejea hata kwenye katiba pendekezwa). Sasa hapo CV za nini tena labda kama kuna taarifa kwa mmoja wao kwamba hajui kusoma wala kuandikika kwa Kiswahili.

Emmamkoloni,issue siyo cheti ,au CV issue ni ukweli alimaliza hiyo form six?Je alifoji vyeti vyake??Na kama alifoji hivi masuala ya wanasiasa kufoji vyeti ili kujipatia ujiko kwanini viendelezwe??Ifike mahali tumchague mtu si kwa sababu ya vyeti vyake bali ukweli kuhusu vyeti vyake.Ni bora useme umamaliza darasa la saba kila mtu hata jisumbua lakini si kutudanganya watanzania.
 
Zamani bright guy walikuwa wanasoma dip 3 year kama ilivyo kuwa kwa bright std 7 walikuwa wanasoma miaka4
 
HAPO KWENYE RED....BUTIMBA TTC SI CHUO CHA UALIMU JAMAN...AU TUSEME BUTIMBA TTC SECONDARY SCHOOL?..
kajipange upya urudi tena na kiwango cha ufaulu kwa kila level hasa hasa sekondari
Kina Secondary Evening Class ingawa sina uhakika kuna A'Level .
 
Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC

fafanua hapa usikurupuke kama umekula maharage gani
 
Kumekuwepo na habari ambayo inavumishwa katika mitandao ya kijamii hasa hapa Jamiiforums kuhusu Elimu ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikati na Uenezi, Ndugu Nape Moses Nnauye. Taarifa hiyo kwa kiasi kikubwa inapotosha na kueleza yale ambayo si sahihi kuhusiana na CV ya Kiongozi huyo wa Chama cha Mapinduzi; Kutokana na Hilo, nimeona ni jambo la busara kuwasaidia wanajamvi kwa kuwapa CV iliyo sahihi ya Nape Moses Nnauye kama ifuatavyo;

  • Kati ya mwaka 1987-1989 alianza elimu yake ya msingi katika shule ya Msingi Mwanga-iliyopo Iramba Singida (ambapo alianza darasa la 1 mpaka 3)
  • Mwaka 1989-1993 aliendelea na kumalizia elimu ya msingi katika shule ya Bukumbi iliyopo misungwi Mwanza.(ambako alikuwa ni kati ya wanafunzi watatu ?3? kati ya 120 waliochaguliwa sekondari.
  • Mwaka 1994-1995 alianza elimu ya Sekondari katika shule ya kutwa ya Ngudu Sekondari.(ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha pili)
  • Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne)
  • Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC
  • Mwaka 2001-2002 alisoma Diploma ya sayansi ya jamii katika Chuo Cha sayansi ya Jamii-Kivukoni.
  • Mwaka 2002-2003 alisomea Diploma ya Diplomasia na uhusiano wa Kimataifa ?Chuo cha Diplomasia Dar es salaam.
  • Mwaka 2005-2008 alisomea digrii ya Saikolojia, Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha Bangalore-India
  • Mwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe.
NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika ?thesis? iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)

Tatizo la Nape sio ukosefu wa elimu bali makuzi yaliyomfanya kuwa mpenda mipasho, kejeli na kuropoka. Kabla ya kutafakari; hata siku yake ya kwanza bungeni hakuchelewa kufyatuka!!
Tumuombee "ajirekebishe" sasa, vinginevyo ajiandae kuwa waziri wa kwanza wa awamu ya 5 kufanya sherehe ya kufukuzwa kazi! Best wishes Nnape Moses Nnauye
 
TandaleOne Master of Business Administration na sababu zinazochangia ushiriki wa wapiga kura zina uhusiano gani? Angefanya "Reasons lead to poor performance of public corporations" hii kidogo ingelandana na hiyo master yake @Nnauye Jr

MPA ni Master of business administration? hapo ngachoka kabsa!
 
Sion haja ya kukebei cv ya nape,za kwenu mbona hamzileti hapa tukaziona,watu wanamtindo.wa kuchukuliana poa sana bila kujua undani wa mtu,sasa mlijua nape form two au,kabla hujafungua lijidomo lako kushutumu fanya utafiti ndo uoate la kusema.wivu mbaya sana
 
Na wale machangudoa na mashoga wenye madigrii kumikumi wao wana nini vichwani? Hawako uchi vichwani mwao? Huyo alieishia form 4 ameajiri wasomi watatu, hao wenye madigrii wamekua mashoga na machangudoa.wepi wanahitaji maombezi ya mlima wa moto?
 
Back
Top Bottom