Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

Nasikia harufu ya UBASHITE katika CV hii!
 
Kwenye sivii mbona hawajaeleza jinsi alivyoteswa na gono sugu?
Buji Buji sasa hiyo ni chuki binafsi, hayo yanawekwa kwenye CV, unajua wewe ni influential person humu, ukianza kuandika hivyo utajivunjia heshima
 
Tuanzie hapa form 4

NAPE NNAUYE
SEX M DIV IV PTS 29 KISW D HIST D GEOG D ENGL F B/MATH F BIOL D CHEM D PHY D CIV F
-----------------------
JOHN MNYIKA
SEX M DIV I PTS 7 PHY A CHEM A BIOL A CIV A ENGL A GEOG A HIST A B/MATH A KISW A B/KNOW A
Kumbe Huyu Nape alikuwa biga tu la darasani check hayo Matokeo yake ni ya kiboyaboya tu Hadi vyuo alivyopita ni tiamajitiamaji..
Wanaume wanapita vyuo vitatu tu hapa bongo
Udsm
SUA
Muhas
 
Tuanzie hapa form 4

NAPE NNAUYE
SEX M DIV IV PTS 29 KISW D HIST D GEOG D ENGL F B/MATH F BIOL D CHEM D PHY D CIV F
-----------------------
JOHN MNYIKA
SEX M DIV I PTS 7 PHY A CHEM A BIOL A CIV A ENGL A GEOG A HIST A B/MATH A KISW A B/KNOW A
Kumbe Huyu Nape alikuwa biga tu la darasani check hayo Matokeo yake ni ya kiboyaboya tu Hadi vyuo alivyopita ni tiamajitiamaji..
Wanaume wanapita vyuo vitatu tu hapa bongo
Udsm
SUA
Muhas
 
Ni wasifu wa marehemu au CV?
 

Kwa hiyo Ww nape,umeamu kujitangaza ili iweje?
 
Mzee Nnauye miaka ile alikuwa akiishi katika ile nyumba iliyokuwa inatazamana na jengo la kitega uchumi kwa sasa wamejenga ghorofa moja kubwa na chini yake wanauza nadhani KFC.

Mzee mmoja mtoto wa mjini sana, alikuwa akialikwa kama mgeni rasmi kutazama mechi za netiboli pale railway gerezani miaka ile ya awamu ya kwanza.
 
Sawa kaunga unga lakini umeshaona gari analotembelea kile kibendera kinavyopunga...?
 
Nimeimiss sana hii ID ya Nape
 
Doa lake kubwa ambalo halitatoka kwenye vichwa vya Watanzania ni kumchafua Hayati Magufuli,ambaye alikuwa kipenzi cha Watanzania tulio wengi.Kupitia kwa Magufuli tuliiona wazi Tanzania tuliyokuwa tunaitaka.Kwa bahati mbaya matumaini yetu yametoweka.

Nakumbuka Magufuli alipopata matatizo Lindi,Nauye alisikika akifurahia! Kufurahia Magufuli kupata matatizo na kumsema vibaya,kunaonyesha wazi kwamba Nauye hakuwa anafurahia aliyo kuwa anafanya Magufuli.Hii inamuweka Nauye in a confrontational course na wananchi waliokuwa wanampenda Magufuli,ambao ni wengi.

So what is his future in politics because of this.Huyu kijana atang'ara kisiasa tu kama tuna Rais ambaye sio pro- wananchi sana,ni mlaji mlaji tu and entertains the West.Rais ambaye yuko serious na development issues za Watanzania hawezi kumpenda,kwa kuwa ni obvious anapenda ulaji kuliko maendeleo ya Watanzania.Huu ndio ukweli mchungu kwa Nauye na wewe unayempigia campaign..
 
Kwani ww huwa unamwona ana kitu? Mtu anasema hadharani goli la mkono? Huyo ni shida tu!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kweli Aseeh yule ni kilaza yaaan Huyu ndo Kiongozi anayetegemewa kuongoza nchi kasoma kwa kimchongomchongo hv halafu muda wote anawaza magoli ya mkono🤔🤔.
Nilimsikia Ile siku yuko kule kwao Lindi kwenye mkutano wa Shaka kumrudishia kadi ya uwanachama B.C. Membe.. yaan alikuwa anatoa ushuhuda wake namna anavyofahamiana na Membe yaan ni kimchongomchongo tu..
Mara Membe alinifanyia mchongo wa kusoma nje, Mara Membe alinifanyia mchongo wa ukuu wa wilaya Masasi, Mara Membe kanifanyia mchongo Ubunge Mtama...🤣🤣🤣
 
fatilia wengi watu wakusini ni vikaza wakutupwa wamejawa na porojo mdomoni na umbea bila kusahau unafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…