Spike Lee
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 625
- 272
Sijaona hata credit moja hapo! A level kaendaje? Kama ali reseat si tuambiwe?
Huwezi kufanya mtihani wa kidato cha 6 bila ya kuwa na credit 3 za O level za kiwango cha C na kuendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaona hata credit moja hapo! A level kaendaje? Kama ali reseat si tuambiwe?
degree kaunga kaunga...
Naelewa kabisa kulinganisha elimu ya Nape na Mnyika hakutusaidii lolote hapa wakati tukiwa kwenye msiba mkali wa watoto wetu kufeli kupita maelezo. Lakini cha kushangaza ni jinsi gani mtu anakula MSWAKI (F) wa Civics kisha anakuwa katibu mwenezi wa chama cha siasa....lol, maendeleo ya JK. Huu ushuhuda uko Tanzania ambako ndege ilifunga breki angani na kutoa vumbi ikiwa angani.
Tarehe za kwenye CV na cheti haziendani.
CV 2009-2010; Cheti 2011 (December).
Alimaliza lini Mzumbe?
Civic inamhusu nini? Anaiujua na kuielewa katiba ya CCM na ilani za uchaguzi za CCM kwetu inatosha sana na anatekeleza majukumu yake ipasavyo mna lazaidi????????????????????
Kumekuwepo na habari ambayo inavumishwa katika mitandao ya kijamii hasa hapa Jamiiforums kuhusu Elimu ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikati na Uenezi, Ndugu Nape Moses Nnauye. Taarifa hiyo kwa kiasi kikubwa inapotosha na kueleza yale ambayo si sahihi kuhusiana na CV ya Kiongozi huyo wa Chama cha Mapinduzi; Kutokana na Hilo, nimeona ni jambo la busara kuwasaidia wanajamvi kwa kuwapa CV iliyo sahihi ya Nape Moses Nnauye kama ifuatavyo;
NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika thesis iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)
- Kati ya mwaka 1987-1989 alianza elimu yake ya msingi katika shule ya Msingi Mwanga-iliyopo Iramba Singida (ambapo alianza darasa la 1 mpaka 3)
- Mwaka 1989-1993 aliendelea na kumalizia elimu ya msingi katika shule ya Bukumbi iliyopo misungwi Mwanza.(ambako alikuwa ni kati ya wanafunzi watatu 3 kati ya 120 waliochaguliwa sekondari.
- Mwaka 1994-1995 alianza elimu ya Sekondari katika shule ya kutwa ya Ngudu Sekondari.(ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha pili)
- Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne)
- Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC
- Mwaka 2001-2002 alisoma Diploma ya sayansi ya jamii katika Chuo Cha sayansi ya Jamii-Kivukoni.
- Mwaka 2002-2003 alisomea Diploma ya Diplomasia na uhusiano wa Kimataifa Chuo cha Diplomasia Dar es salaam.
- Mwaka 2005-2008 alisomea digrii ya Saikolojia, Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha Bangalore-India
- Mwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe
acha wivu. mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. mbona mnyika amekiri kuwa hana degree!? afadhali huyu an masters
Bora kutokuwa na degree kuliko kuwa na CV ya nepi.A-level EGM Butimba Teacher's Training College?
BUTIMBA hakuna A level,labda sijui alisoma private candidate A level,hii CV ina walakiniButimba Alevel?
Maguta na maji
TandaleOne Master of Business Administration na sababu zinazochangia ushiriki wa wapiga kura zina uhusiano gani? Angefanya "Reasons lead to poor performance of public corporations" hii kidogo ingelandana na hiyo master yake @Nnauye Jr