Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,075
......Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC...
Wewe bana!!!! Hii Tanzania watu wanazo taarifa kibao. Hapo Kwenye redi mbona utaki kujadili RE-SEATING yake akiwa Private Candidate kutafuta kujaziliza vimaksi akubalike katika chuo cha maana. Na hakuweza kupata vimaksi kutosha kuingia chuo cha maana. Au we unaona kile chuo cha Ngwini na kutetea ujamaa pale Kigamboni nacho ni chuo? Ha ha ha ha.....
Sasa nikwambie. ni baada ya kukosa maksi za maana kwenye re-seat ndo alianza siasa; Tunajua mambo mengi kuliko unavyodhani bana.... Au unataka kusema hakuwahi ku-Re-Seat na kukosa maksi za maama watu wakupe data hapa. Ha ha ha ha ....