Hii ndio faida ya kuwagawa mashabiki kwa itikadi, pole sana Zuchu

Hii iwe fundisho kwa wasanii wote,mmejinasibisha mko upande gani badala ya kuwa neutral basi waombeni kura wanachama wenzenu.

View attachment 1597596View attachment 1597599View attachment 1597601View attachment 1597598View attachment 1597598

Wewe kweli kichwa maji! Hivi wewe ulishawai kuhudhuria hata show moja ya msanii? Hivi mbona Ney wa mitego ana washabikia ? Yeye ni mwema sana? Hamna msanii atahanguka kwakuwa amewashabikia CCM! Nyie chadema ni wajinga wajinga na kila siku huwa mnashindwa kwenye kila jambo! Hamuwezi kumuangusha msanii yeyote yule ndio maana wakipiga show popote wanatokea!

Chadema huwa mnasema uhuru mnadhani uhuru ni kuishabikia chadema tuu hahahah!
 
Hahahaha pole sana mkuu najua wimbo wa Zuchu umekuuma sana hahahaha
 
Aaa wataweza kweli...aawapi.Mkuu walioambiwa wameweza bila shaka.wakati mwingine lazima uvune unachopanda.Wakati nao ni mwamuzi mzuri.Tuzo zingekuja baada ya uchaguzi mambo yangeweza kuwa tofauti.
 
Aaa wataweza kweli...aawapi.Mkuu walioambiwa wameweza bila shaka.wakati mwingine lazima uvune unachopanda.Wakati nao ni mwamuzi mzuri.Tuzo zingekuja baada ya uchaguzi mambo yangeweza kuwa tofauti.
Sasa mbna wanaowania tuzo sio zuchu peke yake..Nandy,kiba, harmonize, Diamond..why zuchu?

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Tatizo pia wimbo wake umetrend sana ktk kampeni.Halaf ile lebo imeonekana Ni km ya chama.
Kwaiyo demu ni mkali sio ? Kama walotoa ngoma za ccm inaskika yake tu ...

Alaf kusema wimbo unatrend inaamna yeye ndo ccm kuliko wasanii wengne wote kweny list ya ccm?

Na label kua ccm sio WCB tu...ni label zote na wasanii karbia wote ni ccm kwann huyu mmoja tu?

Hapa mi naona ni team tu.. ingekua kua ccm kwel basi alikiba ,nandy harmonize wote hao wangewashiwa moto...au wao ni ccm vuguvugu[emoji3][emoji3]

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
na ikitokea huyu zuchu akashinda tuzo angalau moja ya kimataifa kwa mwaka huu, litakuwa PIGO jingine kubwa kwa @Upinzani uchwara wa kibongo baada ya lile la October 28....

ZUCHU (the female version of DP) we are behind you..! Tutakusapoti
Aiseee... Nimeona bora nirudi kufukua oni langu hapa, nilisema na bado narudia kusema, vipigo bado vinaendelea
Mnamletea chuki mpambanaji? Wakati nyie hata kuingia road kupambania mnachokiamini hamuwezi?
Narudia tena "NA BADO"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…