Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huu si ni ushahidi kwamba aliyetufikisha hapa hafai kwa kuharibu maisha ya watanzaniaTrust me hao ni fan wa upande wa pili...mim siwez mchukia lets say Kiba kisa ccm...kuna maisha ni personal atajua yeye mwenyew msanii...
Na wasanii sio kama wanpenda...Ukileta kiburi jamaa wanakula sahani moja naww kuptia basata na tcra...Mda msanii anafungiwa Shabiki upo zako geto umelala...tusifanye kama hatuijui hii bongo yetu...
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Tutampigia msitutisheHii iwe fundisho kwa wasanii wote,mmejinasibisha mko upande gani badala ya kuwa neutral basi waombeni kura wanachama wenzenu.
View attachment 1597596View attachment 1597599View attachment 1597601View attachment 1597598View attachment 1597598
Kiba ni msanii mwwnye hekima sana huwezi mkuta kavaa nguo za chama chochote, japo kuwa wanalazimishwTrust me hao ni fan wa upande wa pili...mim siwez mchukia lets say Kiba kisa ccm...kuna maisha ni personal atajua yeye mwenyew msanii...
Na wasanii sio kama wanpenda...Ukileta kiburi jamaa wanakula sahani moja naww kuptia basata na tcra...Mda msanii anafungiwa Shabiki upo zako geto umelala...tusifanye kama hatuijui hii bongo yetu...
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Ndio namshangaa... miaka yote awards wanazoshinda hao wasanii si wapo na ccm miaka yote...anataka kusema safar hii ndio wasanii wmekua na ccm? Na hapo mwanzo hawakuwah shinda hizo tuzo? Unajua ukiwa team flan unaeza sahau hata team yako nayo ni ccm hao hao
Na hii bongo lazima wajifunze kubalance mambo, walikuja wenzake wakali kuliko yeye na wakapotea, muziki bila surpporters ni kazi bure, kakitaka kalie tena!Huo ndio ukweli halisi kama wao wameweza kukutumia wewe kwenye maslahi yao ni wazi kua unamsaada wa kuwafanya wao wafikie lengo wanalokusudia.
Sasa inatakiwa ajiulize yeye, katika malengo anayotaka kuyafikia kwanini asitumie encourages power ya kampeni kupata hizo tuzo?
Trust me hao ni fan wa upande wa pili...mim siwez mchukia lets say Kiba kisa ccm...kuna maisha ni personal atajua yeye mwenyew msanii...
Na wasanii sio kama wanpenda...Ukileta kiburi jamaa wanakula sahani moja naww kuptia basata na tcra...Mda msanii anafungiwa Shabiki upo zako geto umelala...tusifanye kama hatuijui hii bongo yetu...
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Mzee kama una akili nzur utaona kuna post ni hate tu za uteam...mbona huo moto hawajauwasha kwa Alikiba au harmonize si wao wanawania afrima piaNa wewe unakosea unaposema yuko team fulani
Umewaza kijinga pia
Diamond miaka yote yuko CCM na anashinda
Kibaz hamornize wote CCM, sasa idea ya uteam umeitoa wapi?
Na hiki kitu kwa wabongo huisha baada ya upepo kupita...hii tumeona kweny matukio meng...hii sio mara ya kwanzaKuna kitu mi nimeona kinatokea.... yani huwezi kuacha kusikiza muziki wake... lakini kuna kitu kinakutoa moyo wa kumsupport pale anapoitaji support(subconciously) yan inakuwa km automatic unapuuzia anachotaka lakini kwa yule ambaye mna itikadi moja unajikuta unasupport bila hata kujiuliza... hivyo ndivyo ilivyo... si sawa na yule ambaye yuko nyutro.
Kumbe nyie mnaangalia Grammy pekee[emoji3] Kuna tuzo nyingi mno diamond kawa nominated apart from grammyHahahahahahahahah Hakuna kitu cha kusubiri hapo,Tanzania hakuna msanii wa kushinda Grammy Acha kujidanganya,Ushinde Grammy kwa kuimba Litawachoma,Cheche sijui JEJE labda hizo Grammy ziwe zimeandaliwa na Polepole au Uvccm.
Mtajijua wenyewe na hilo sanii lenu DOMO.Kumbe nyie mnaangalia Grammy pekee[emoji3] Kuna tuzo nyingi mno diamond kawa nominated apart from grammy
Hali ya siasa,uchumi na uhuru wa watu ulikuwaje kipindi hicho.Kuwa mfikiriaji mkubwa kwanini Sasa.Tatizo wasanii hawa sio mara ya kwanza hii kua ccm na kuwania awards,,unataka kusema Diamond hapo mwanzo alishinda awards zote akiwa chadema?[emoji1787][emoji1787]
Alishinda ndio,lkn Hali ya nchi kisiasa kiuchumi,uhuru wa watu vilikuaje kulinganisha na sasa? Hujiongezi ukajiuliza why sasa watu wana hasira kias hiki? Fikiri tofauti kidogo.Usiongee kwa mazoea.Tatizo wasanii hawa sio mara ya kwanza hii kua ccm na kuwania awards,,unataka kusema Diamond hapo mwanzo alishinda awards zote akiwa chadema?[emoji1787][emoji1787]
Siasa Ni km oksijeni.Inaamua kila jambo ktk maisha yetu.Huwezi enda jukwaani mziki mkubwa unaimba kamata wapinzani tupa kule....mara eti watawezaaaaa,ukatukana ukabeza jinsi unaweza,halafu kesho unaomba wapinzani hao hao kura.Utakuwa una ufahamu mdogo sana.Ukishachagua upande jua kuna upande kinzani tayari.Trust me hao ni fan wa upande wa pili...mim siwez mchukia lets say Kiba kisa ccm...kuna maisha ni personal atajua yeye mwenyew msanii...
Na wasanii sio kama wanpenda...Ukileta kiburi jamaa wanakula sahani moja naww kuptia basata na tcra...Mda msanii anafungiwa Shabiki upo zako geto umelala...tusifanye kama hatuijui hii bongo yetu...
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Aliimba wapinzani watawezaaaaa.....na kwa hili tunasema hatuwezi kumpigia kura,aende kwenye jukwaa la kampeni akaombe kura huko.Nitaweka bando Ku vote kwa zuchu, mwenyekiti katukosea sana kwa kuleta utengano kwa watanzania, enzi za mchonga tulisema watanzania ni ndugu. Zuchu hana kosa kafanya kazi yake ya sanaa kama mteja wake CCM alivyo taka, kwa kufanya kazi hakumuondolei utanzania wake.
MPE kura ya tuzo zuchu, ni kura kwa tanzania