Hii ndio faida ya kuwagawa mashabiki kwa itikadi, pole sana Zuchu

Hii ndio faida ya kuwagawa mashabiki kwa itikadi, pole sana Zuchu

Hatupaswi kuwapigia kura wasanii wa Tanzania wala kwenda kwenye matamasha yao.Ccm wametesa na kuua watu kwa miaka mitano lkn,wasanii wameshindwa kuutumia umaarufu wao vzr matokeo yake wanakubali kuinamishwa na ccm!
Nyie hamna nguvu, mlisusia Voda, ipo wapi, mkamsusia diamond 2015 alivyo imbia ccm, yupo wapi, you guys are vry few, ni mna makelele mengi tu.
Si Utaona kama zuchu atatingishwa
 
Muache unafki kama ndio harakati zenu mshambulie wasanii wote hadi akina Hbaba na pia msisahau kuacha kushabikia Simba sc maana hata bosi wenu alikuwa anamuunga mkono mgombea urais wa chama fulani. Nakumbusha kila mtu mumgomee na sio kuchagua sehemu za kufanyia harakati. MUACHE UNAFKI
Twende kazi.
Screenshot_2020-10-08-23-57-29-1.jpg
 
Huo ushauri muwashauri na wasanii wengine na sio kuchagua baadhi pili hata Mo alionesha kuunga juhudi basi itakuwa ni harakati kweli mkigomea kushabikia Simba sc na bidhaa zake lakini sio kufumbia vitu vingine.
Hakika.
Screenshot_2020-10-08-23-57-29-1.jpg
 
Katka ccm yote yanawezekana hata kwa bao la mkono
NB; kuna maisha baada ya uchaguzo, tusiusishe maisha ya kawaida na siasa
 
Hatupaswi kuwapigia kura wasanii wa Tanzania wala kwenda kwenye matamasha yao.Ccm wametesa na kuua watu kwa miaka mitano lkn,wasanii wameshindwa kuutumia umaarufu wao vzr matokeo yake wanakubali kuinamishwa na ccm!
Mwenye akili hawezi kuandika utumbo kama huu, hawa ni wasanii ni kazi kama kazi zingine hata wewe ukimwita atakuja anachotaka ni malipo Kwa kazi yake basi, kama mnatembeza kapu kwenye mikutano mtaweza kuwalipa wasanii, hivyo hayo yasiwatoke mmeshindwa wenyewe, kifupi wapo kazini na wanaingiza pesa, wewe baki nyuma ya keyboard kuwatuhumu
 
unachotakiwa kujua ni kwamba mashabiki wamegawanyika....si afya kwa upande wa wasanii wetu....celebrity anatakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea haki za raia,unaweza kuuliza haki gani wamenyimwa watanzania? jibu lipo wazi kabisa labda ujitie upofu kwankuwa wewe ni chawa wa ccm.....angalia hapa chini wenzano huko NigeriaView attachment 1597698
Kwa hiyo na wao wakaandamane Nigeria? Maana huku kwetu hakuna maandamano ya vijana wala ya wazee.
 
Huo ushauri muwashauri na wasanii wengine na sio kuchagua baadhi pili hata Mo alionesha kuunga juhudi basi itakuwa ni harakati kweli mkigomea kushabikia Simba sc na bidhaa zake lakini sio kufumbia vitu vingine.
Mwanaume kamili, binadamu mwenye akili timamu, mtu anayeitambua thamani yeke hawezi, tena hathubutu kuishabikia Ccm. Tunaiona kama jehanamu
 
Sawa tusubr matokeo...si nchi nzima wenye smartphone ni nyie tu[emoji3]

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Hahahahahahahahah Hakuna kitu cha kusubiri hapo,Tanzania hakuna msanii wa kushinda Grammy Acha kujidanganya,Ushinde Grammy kwa kuimba Litawachoma,Cheche sijui JEJE labda hizo Grammy ziwe zimeandaliwa na Polepole au Uvccm.
 
Trust me hao ni fan wa upande wa pili...mim siwez mchukia lets say Kiba kisa ccm...kuna maisha ni personal atajua yeye mwenyew msanii...

Na wasanii sio kama wanpenda...Ukileta kiburi jamaa wanakula sahani moja naww kuptia basata na tcra...Mda msanii anafungiwa Shabiki upo zako geto umelala...tusifanye kama hatuijui hii bongo yetu...

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Umemaliza brother
 
Back
Top Bottom