Hii ndio faida ya kuwagawa mashabiki kwa itikadi, pole sana Zuchu

Wasanii wenyewe wa bongo ndo Hawa!

Dah inasikitisha sana.bora hata vote yangu nimpigie burnaboy au davido

Hizi mboga ndio mabosi wa CCM wanazilamba!
Fu>ked off!
Screenshot_20201012-165709_1602511065335.jpg
 
Naelewa Hisia za hao watanzania walio mjibu na kuonyesha kutompa "support".

Ila tuchukue tu kwamba Huyu Zuchu na wasanii wengine wanaandamana na CCM kwenye kampeni zao, sio kwasababu ya Pesa, kwamaana ya Kazi, Bali Ni kweli Wana support CCM na Wanapenda Magufuli achukue Tena Miaka mi5.

Kuna shida yoyote? Kwani wao hawana Uhuru wa kuchagua chama gani wakiunge mkono.

Kama sio hivyo Sasa Hawa CHADEMA wanao hubiri UHURU , HAKI NA MAENDELEO YA WATU.
Huo Uhuru mnao uhubiri Ni Uhuru gani.
Na kujiita Chama Cha demokrasia Kuna demokrasia gani Kama Tu, imeshindikana kuachia mtu afuate anachokiamini, aidha ni itikadi, au yupo kazini.

Kuiungamkono CCM au kuifanyia kazi kwa kutumbuiza kwenye Kampeni sio Kuvunja Sheria. Ana haki ya kufanya hivyo.

Jamani hata baada ya Uchaguzi tutaendelea kuwa watanzania, na kwa sisi wananchi wa kawaida tutaendelea kusaidiana na kushirikiana kwenye harakati zetu halali za kila siku.

Mimi sio mpezi wa nyimbo zake Wala sizijui hata ukiimbwa siwezi jua huu Ni wa Zuchu bila kutilia shaka. Labda chache Sana.
Hivyo naweza hata nusifuatilie swala la kunipigia Kura.
Ila kwa mmnao penda nyimbo zake tafadhali mu Msupport tu.
Mpigieni Kura hata Kama yeye Ni Wa Chama msichokipenda au anawapigia Kampeni msio wapenda.

Ila pia mna haki na Uhuru wa kutompigia Kura kwa kuonyesha Hisia zenu dhidi ya Chama msichokipenda ili kuweka record sahihi pale akikosa kura kwa sababu hiyo.
 
Hii iwe fundisho kwa wasanii wote,mmejinasibisha mko upande gani badala ya kuwa neutral...basi waombeni kura wanachama wenzenu.View attachment 1597596View attachment 1597599View attachment 1597601View attachment 1597598View attachment 1597598
Hii ni kumuonea Tu!! Ile ni Biashara kama watakavyopiga shows sehemu yeyote
Hawa wasaniibHawaimbi bure pale CCM, Okey vizuri Zuchu apigiwi Kura NI msanii Gani mwingine katajwa Grammy na ha jashiriki CCM
Watanzania pia si wapigaji WA Kura Kwa wasanii, mara ngapi tuzo zinaenda Nchi nyingine
 
Trust me mkuu...hao jamaa awards watapata na uzi utakuja kufufuliwa huu...
Mim pia ni mpinzani mwenzako lakin kweny hili naona haina maana...mda tupo busy na kusema fulan asishinde grammy ccm wao wako busy na majimbo

Sent from my

Mzee kwanza mimi siwez kua ccm miaka 100...
Pili nimeongea reality ilivyo...Ww ni mgen na hii nchi? Wasaniii wamekua waoga kutokana na system ilivyo..unafkr wao hawna shida? Tusitegemee msanii atakuja kuikomboa hii nchi...na hatuez itoa ccm eti kwa kuwanyima watu grammy [emoji16] hebu soma vzr post yangu utaelewa position yangu..

Huyo chini ni Diamond...unataka kusema hao wana wote hapo ccm damu? Hii maana yake msanii pamoja na Chama chake that none of our business...na hili utaliona tena..jamaa watabeba awards kama kawa...Tupambane tareh 28 tuache kuhangaika na hao wafia tumboView attachment 1597710

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Ninachokisema ni kwamba ashinde gramy asishinde but ukweli utabaki pale pale washapoteza kundi kubwa la mashabiki,unajua siasa sio mpira wa miguu,huu ni utawala na kuna watu wameumizwa direct na siasa za vyama,aidha kwa kupoteza mali au ndugu zao au viungo vya mwili....kwa mantiki hii usitegemee kumpenda mtu ambaye unaona asapoti upande ambao umeathiri maisha yako negative,na hili kundi ni kubwa....mimi sio mgeni kwenye nchi hii lakini ni kwamba siasa za 2010 na za 2020 ni tofauti kadri miaka inavyoenda munkari inashika kasi mno,sijui niseme nini unielewe ninachomaanisha....la mwisho kabisa ni kwamba celebrity unapochagua upande wa udhalimu maana yake unasapoti ukandamizaji,je nitakupendaje wakati mimi ni mhanga wa serikali tesi? sijui kama nimeeleweka sababu nimeandika kwa hasira mana nikiwaza wanavyoponda upinzani majukwaani halafu leo hii wanatuomba sapoti yetu kwenye maslahi yao masna yake wanatuona sisi mafal.a
 
Mzee hilo lakupoteza mashabik nakataa...hapo ni team tu znafnya kazi..kubal ktaaa..kam umefuatlia hao jamaa kadri miaka inavyoenda ndio wanazid kujibebea mashabik...

Alaf mzee kwan we ni mgen na wabongo? Hii mgoma itapita na watu watasahau yote...hiz ndio homa za uchaguzi...kumbuka kuna maisha baada ya uchaguzi...

Wabongo wapo kama upepo..kaa unabisha tusubr mkuu mpka December hivi alaf tutakuja quote hizi post...

Hivi kuna chaguzi ilikua wamoto kma wa Ngoyai ? Leo hii kikwapi tushasahau yale mafuriko pale jangwan [emoji3]...time ll tell mzeee we subr tu...Hii ndio Tanzania ya social media

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Ninachokisema ni kwamba ashinde gramy asishinde but ukweli utabaki pale pale washapoteza kundi kubwa la mashabiki,unajua siasa sio mpira wa miguu,huu ni utawala na kuna watu wameumizwa direct na siasa za vyama,aidha kwa kupoteza mali au ndugu zao au viungo vya mwili....kwa mantiki hii usitegemee kumpenda mtu ambaye unaona asapoti upande ambao umeathiri maisha yako negative,na hili kundi ni kubwa....mimi sio mgeni kwenye nchi hii lakini ni kwamba siasa za 2010 na za 2020 ni tofauti kadri miaka inavyoenda munkari inashika kasi mno,sijui niseme nini unielewe ninachomaanisha....la mwisho kabisa ni kwamba celebrity unapochagua upande wa udhalimu maana yake unasapoti ukandamizaji,je nitakupendaje wakati mimi ni mhanga wa serikali tesi? sijui kama nimeeleweka sababu nimeandika kwa hasira mana nikiwaza wanavyoponda upinzani majukwaani halafu leo hii wanatuomba sapoti yetu kwenye maslahi yao masna yake wanatuona sisi mafal.a
Alaf mzee wale sio kama wanapenda kufanya zile kampen...wale wameshikwa pabaya...Wanatumia TCRA na Basata kuwanyosha hao wasanii..

Muone jide kilichomkuta tayar anaambiwa amechochea uvutaji bangi kisa kagoma kwenda kweny kampen.

Hao wasafi walifungiwa kwa kichaka cha maudhui lakin ukwel jamaa walikua wnapost habar za lisu...sasa tangu wmerud hewan umeona hata post ya upinzan tena? Clouds nao vile vile...sas mond hapo akipiga hesabu unafkr atagoma?

Shida hapa sio wasanii shida ni Watanzania wote...leo tukisema tuingie barabarn kudai haki zetu mzee utatoka? Okey tuseme we jembe utatoka..je jiran yako atatoka?

Tusiumize mtu individual kweny vita ya taifa zima...zuchu anaangalia ugal wake kama mtu mwingine yule ambaye atagoma kudai haki za msingi....

Basi tukitoka kwa wasanii tuamie wapi kugoma kutibiwa kweny hospital walizojenga ccm au? Kama hii ndo strategy ya kuitoa ccm basi ccm wana miaka 1000 tena mbele [emoji3]

Maelezo marefuu ya nini kwani naijeria wameweza vipi?

Piga spana
 
Wanaija wao waliangalia nan hatak kuingia barabaran au waliangalia mbele tu? Kama hii ni strategy Basi ccm haitok madarakan....braza iko hivi...huwez kuleta changes hata siku moja kama majority hawajachoka bado...siku wabongo wakichoka system mbna utashangaa unaamka unaingia barabarn..ila sio kwa hizo porojo za awards [emoji3][emoji3]

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
n
Alaf mzee wale sio kama wanapenda kufanya zile kampen...wale wameshikwa pabaya...Wanatumia TCRA na Basata kuwanyosha hao wasanii..

Muone jide kilichomkuta tayar anaambiwa amechochea uvutaji bangi kisa kagoma kwenda kweny kampen.

Hao wasafi walifungiwa kwa kichaka cha maudhui lakin ukwel jamaa walikua wnapost habar za lisu...sasa tangu wmerud hewan umeona hata post ya upinzan tena? Clouds nao vile vile...sas mond hapo akipiga hesabu unafkr atagoma?

Shida hapa sio wasanii shida ni Watanzania wote...leo tukisema tuingie barabarn kudai haki zetu mzee utatoka? Okey tuseme we jembe utatoka..je jiran yako atatoka?

Tusiumize mtu individual kweny vita ya taifa zima...zuchu anaangalia ugal wake kama mtu mwingine yule ambaye atagoma kudai haki za msingi....

Basi tukitoka kwa wasanii tuamie wapi kugoma kutibiwa kweny hospital walizojenga ccm au? Kama hii ndo strategy ya kuitoa ccm basi ccm wana miaka 1000 tena mbele [emoji3]

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
nikuulize tu swali kwa nini ccm wanatumia wasanii kwenye kampeni zao?
 
Kwahiyo na wewe amekwambia nani na nani anataka wampigie kasema watanzania..au sisi ni wakongo?
Nyie chawa ndo mnamharibia msanii akose kura

Na kura sipigi unatakaje chawa mna kazi ngumu
pancho boy Kwani mzee lini umewahi kumshabikia Zuchu mpaka uwe na impact kwenye mziki wake?
 
Back
Top Bottom