The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Kwann zuchu na WCB peke Yao wakat Kuna maua sama,nandy,alikiba, harmonize na wengine wengi. Kuna ki2 kipo tofauti na hizi itikadi za vyama.Wewe mtoto,wewe mtoto,wewe mtoto....nimekuita mara tatu itika.Kumbuka kupotea kwa Ben Saanane,Azory Gwanda na wengineo.Kumbuka kupigwa risasi kwa Tundu Lissu,kumbuka manyanyaso kwa watumishi wa umma na Wazee wastaafu,kumbuka manyanyaso kwa wakulima na wafanyabiashara.Nafahamu wewe ni mnufaika na uwepo wa ccm so,haupo kwenye kundi lolote kati ya hayo niliyoyataja lkn,Zuchu ameungana na watesi na wauaji wa jamii yake hastahili kutendewa wema hata kidogo!