Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Hao Queens wa bongo mavi hawakuwa na impacts yoyote inayogusa maisha ya mtanzania mmoja mmoja.Yaani wasanii wakatae deals kwa sababu kuna watu watachukia? Mtawalisha?
Mbona 2015 queens wa bongo movie wote walikuwa upande wa Lowasa na hatukuacha kufuatilia kazi zao?
Akili ndogo Sana hapa inahitaji kuelewa hili jambo, kipindi ambacho jamii ipo kwenye taharuki kubwa ya utawala wa ukandamizaji na Hali ngumu ya kiuchumi, wao Kama wasanii (kundi dogo) lilipaswa kuisemea jamii na siyo kuungana na 'wakandamizaji' na wauaji eti kwa sababu ya kipande cha fedha.
Kama hutalielewa hili u just go back home and feed ur mom breast for benefit of your brain.