Hii ndio faida ya kuwagawa mashabiki kwa itikadi, pole sana Zuchu

Hii ndio faida ya kuwagawa mashabiki kwa itikadi, pole sana Zuchu

Trust me hao ni fan wa upande wa pili...mim siwez mchukia lets say Kiba kisa ccm...kuna maisha ni personal atajua yeye mwenyew msanii...

Na wasanii sio kama wanpenda...Ukileta kiburi jamaa wanakula sahani moja naww kuptia basata na tcra...Mda msanii anafungiwa Shabiki upo zako geto umelala...tusifanye kama hatuijui hii bongo yetu...

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Ni mawazo yako lkn.
 
😂😂😂😂😂 Watu wanajifanya kuwachukia afu bado wamewafollow bila shuruti, hii haileti sense kabisa 😂. Kabla haujacomment upuuzi Kama huo unatakiwa kuniuliza, zile tuzo zote alizowahi kushinda dai huko nyuma alizipata akiwa CHADEMA? Au ndo mnataka tuamini kwamba Wasanii watz wameanza kuwa upande wa CCM uchaguzi huu?

Yani msanii aache kufata dili la hela, eti kisa atawakasirisha jobless fulani mitandaoni? Kwamba asingeenda huko ndo mngempelekea hela mikononi Kama mnavyoaminishwa na viongozi wenu uchwara? Hela inatafutwa acheni ujinga😂😂. Watu wajinga kweli.

NB:Mmeombwa kupiga kura, hamjalazimishwa, k*ng* nyie.
 
Hamna mtu aliye shikiwa risasi kumpigia kura,ukitaka piga husipotaka acha.

Huu ulimwengu wa Demokrasia kila mtu ana choice yake Zuchu choice yake CCM,so husipo mpigia still umetumia haki yako ya kidemokrasia.

Hongera Zuchu.
 
Mtu anatoa mfano wa wasanii wa Nigeria kuwa wanashiriki maandamano ya kuwatoa SARS....na kuwa wasanii wa hapa hawafanyi hivyo...

Jibu ni simple tu...je wewe unayemtuhumu msanii kutokushiriki demonstrations...ni lini tumekuona mtaani ukihamasisha maandamano against the government?

Yaani wewe mwenyewe huthubutu kwenda barabarani kuandamana...halafu unataka msanii aende kwa niaba yako kwa vile yeye ni kioo ha jamii?

Wasanii wakiamua kuwapigia kampeni CCM ni uamuzi wao...wana exercise uhuru wao wa kuchagua. Ni sawa na mtu anapoamua kuwa mpinzani...ni uamuzi wake. Maana si lazima watanzania wote wawe na mtizamo fulani kisiasa.
 
Trust me hao ni fan wa upande wa pili...mim siwez mchukia lets say Kiba kisa ccm...kuna maisha ni personal atajua yeye mwenyew msanii...

Na wasanii sio kama wanpenda...Ukileta kiburi jamaa wanakula sahani moja naww kuptia basata na tcra...Mda msanii anafungiwa Shabiki upo zako geto umelala...tusifanye kama hatuijui hii bongo yetu...

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Sio tunawachukia kisa wapo CCM hapana kisa wapo hawatetei wanyonge
 
Me nashangaa mtu na akili zako unamchukia Msanii kisa ka perfome kwenye kampeni za CCM.
Above yote, yule pia ni mtu na ana haki ya kuwa mfuasi wa chama chochote anachokitaka kama wewe ulivyo chagua chama chako.
Upande wa Mziki unabaki vile vile, hizo ni Chuki na wivu tuu..
Siwezi kumpigia kura msanii anatubeza na hali ngumu ya mtaani tunayopitia. Akapigiwe na Polepole.
 
Hivi team kiba watashangia hii awards ? Team konde je? Usijifanye mtoto mdogo bro...kama kwel mnahasira basi kiba na harmonize pia mkawawashie moto..si wanawania afrima na pia ni ccm..why zuchu? Na huyu mtoto anawapa watu hasira sana hasa team pinzani..video yake ilivyo tolewa youtube mlikuja kufungua mpaka uzi

Hii awards atashinda yule mtoto na huu uzi utabaki kama fedhea kwenu..kama ipo ipo tu mkuu....aliekwambia ccm inatolewa kwa kumbania zuchu grammy nan? Kua nominated tu ni ushindi tosha...


Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
mawazo mgando au bangi za saa saba mchana
 
Kwani kakulazimisha umpigie kura au yeye kaomba kwa wanaotaka kumpigia kura?
Kwahiyo na wewe amekwambia nani na nani anataka wampigie kasema watanzania..au sisi ni wakongo?
Nyie chawa ndo mnamharibia msanii akose kura

Na kura sipigi unatakaje chawa mna kazi ngumu
 
Back
Top Bottom