Hii ndio FAMILY Bora Duniani, na mfano Bora wa kuigwa

Hii ndio FAMILY Bora Duniani, na mfano Bora wa kuigwa

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,373
images

1. Ndoa yao ina miaka 65.
2. Hawana skendo yoyote.
3. Mtoto wao wa kiume ambae ni Mrithi wa Ufalme kwa mujibu wa katiba ya nchi yao, mpaka sasa ana miaka 65, akimsubiria mama yake afe ndio awe mfalme. Na ukoo unarekodi ya kuishi umri mrefu kupita maelezo, maana Mama wa huyu Malikia wa sasa aliishi Karne moja. Sasa Huyu dogo kazi anayo.

Huyu mtoto, tofauti sio kama angekua mtoto mwengine, hana presha, hana tamaa ya Kua mfalme, halalamiki, ana onyesha heshima na Mapenzi takatifu kwa wazazi wake hao. Anasubiria tu, anazeeka katika kusubiri, mpaka watu wanasema hata mama yake akifa, asipewe ufalme bali apewe mjukuu ambae ni Mwanae yeye Charles.

images
 
ndoa ya kina nani!!!!!!

weka maelezo ya kutosha bana..Names pia

Heaven on earth, haki ya Mungu nimeanguka kicheko, yaani unataka kuniambia kua hizo picha nilizo ziweka hapo huzioni?, Au Ndio ule Msemo kua, hatakama hujasoma, basi hata picha huioni?
 
Heaven on earth, haki ya Mungu nimeanguka kicheko, yaani unataka kuniambia kua hizo picha nilizo ziweka hapo huzioni?, Au Ndio ule Msemo kua, hatakama hujasoma, basi hata picha huioni?

mie namjua huyo ni Queen Elizabeth ila familia yao

sjui mume na mengineyo siyajui ndo maana nikauliza.......
 
mie namjua huyo ni Queen Elizabeth ila familia yao

sjui mume na mengineyo siyajui ndo maana nikauliza.......

attachment.php

Elizabeth II
Monarch

Queen-Elizabeth-II-9286165-1-402.jpg

Elizabeth II is the constitutional monarch of 16 sovereign states, known as the Commonwealth realms, and their territories and dependencies, and head of the 53-member Commonwealth of Nations.

Born: April 21, 1926 (age 87), Mayfair, London, City of Westminster, United Kingdom

Full name: Elizabeth Alexandra Mary Windsor

Spouse: Prince Philip, Duke of Edinburgh (m. 1947)

Parents: Queen Elizabeth The Queen Mother, George VI

Children: Charles, Prince of Wales, Anne, Princess Royal, Prince Andrew, Duke of York, Prince Edward, Earl of Wessex

Siblings: Princess Margaret, Countess of Snowdon

Prince Philip, Duke of Edinburgh

princephilip_narrowweb__300x505,0.jpg

Prince Philip, Duke of Edinburgh KG KT OM ONZ GBE AC QSO GCL CC CMM PC PC ADC is the husband of Queen Elizabeth II.

Born: June 10, 1921 (age 92), Mon Repos, Corfu

Full name: Prince Philip, Duke of Edinburgh

Height: 1.88 m

Nationality: British

Parents: Prince Andrew of Greece and Denmark, Princess Alice of Battenberg

Siblings: Princess Cecilie of Greece and Denmark, [COLOR=#2518B5 !important]More[/COLOR]

Charles, Prince of Wales

images

Charles, Prince of Wales, is the eldest child and heir apparent of Queen Elizabeth II. Known alternatively in Scotland as Duke of Rothesay and in South West England as Duke of Cornwall, he is the ...

Born: November 14, 1948 (age 64), Buckingham Palace, London, United Kingdom

Full name: Charles Philip Arthur George

Parents: Elizabeth II, Prince Philip, Duke of Edinburgh

Siblings: Anne, Princess Royal, Prince Andrew, Duke of York, Prince Edward, Earl of Wessex

Children: Prince William, Duke of Cambridge, Prince Harry of Wales

Spouse: Camilla, Duchess of Cornwall (m. 2005), Diana, Princess of Wales (m. 1981–1996)

Hiyo siyo familia ya kawaida wataalam wa mambo wanakuambia ni mchanganyiko wa binaadam na majini that's why hata ile familia ya kiarabu ya fayed ilipotaka kujiingiza kwenye hii familia kwa kumuoa princes diana waliishia kwenye kifo : refer diana & dodi
 
mie namjua huyo ni Queen Elizabeth ila familia yao

sjui mume na mengineyo siyajui ndo maana nikauliza.......

wacha nikusaidie kidogo, huyo ni queen Elizabeth, mumewe kava black coat anaitwa prince phillip. Mwana wao ambaye ni future king ndio huyo anaitwa prince Charlse alikuwa mume wa princess diana. Nao wana mtoto next inline ya uKing anaitwa prince William ambae miezi michache iliyopita alipata mtoto ambaye ni future King anaitwa prince George.
Kama ni family bora wanajua mwenyewe nyuma ya pazia.
 
Asante Mkuu hapa atleast nimepata mwanga...

nilikuwa siijui hata
 
Miaka 65 iliyopita Mambo yalikua hivi.

Elizabeth-II.jpg

portal-graphics-20_1156422a.jpg

Princess Elizabeth fell in love with Phillip when she was just 13 but age and World War II got in the way of their romance. Their wedding in Westminster Abbey on November 20m 1947, was not extravagant due to austerity measures still in place after the war, but the pageantry still gave the British relief and hope of good times ahead.

elizabeth_iis_wedding.jpg

110510-queen-elizabeth-383.jpg
 
Hawa hapa sasa hivi. Praise be to Almighty God. Sasa wana vitukuu and in Good Health.

qe-ii-and-pp-queen-elizabeth-ii-and-prince-philip-duke-of-edinburgh-in-richmond-virginia-may-3-2007.jpg
 
Lakini huyo Prince Charles hakuonesha heshima na maadili katika ndoa yake alipomwoa Diana. Charles alimpenda zaidi
mke wa mtu mwingine aitwaye Camilla. Na Charles akafanya juu chini mpaka akamwoa huyo mama Parker-Bowles! Bwana
Parker-Bowles ilibidi afyate mkia mbele ya mwana mfalme. Ilikuwa kama ile hadithi ya Shigongo ya 'The President loves my wife. Charles kachukua mzigo akamwacha jamaa solemba.
 
Familia bora Duniani? Mfano wa kuigwa? I will never worship this monarch family ever,ni ujinga kitu gani ulichokiona kwao ni bora zaidi ya familia nyingine? Acha uchuro.
 
Familia bora Duniani? Mfano wa kuigwa? I will never worship this monarch family ever,ni ujinga kitu gani ulichokiona kwao ni bora zaidi ya familia nyingine? Acha uchuro.

Hebu ni onyeshe ndoa unayo ijua wewe ambayo ina umri wa miaka 65, na watoto wote walio fanana na Baba yao, na Mwanamke ambaye ni Big BOSS. Na nadhani unajua tabia za wanawake wanapokua na Ujiko zaidi ya Waume zao. Just use common sense.
 
Familia bora inapimwa kwa vigezo gani? Au kwa kua ni familia ya kifalme? Wewe miaka 65 ya ndoa yao unajua siri gani labda wanazowekeana? Kufanana na baba ndio kigezo? I doubt your reasoning.
 
Familia bora inapimwa kwa vigezo gani? Au kwa kua ni familia ya kifalme? Wewe miaka 65 ya ndoa yao unajua siri gani labda wanazowekeana? Kufanana na baba ndio kigezo? I doubt your reasoning.

Usije ukadharau watu wanao dumu katika ndoa zao hasa kwa umri mrefu kama huo. Kua kwenye Royal family sio kigezo, kwani Hata Diana alikua Mke wa Mfalme mtarajiwa lakini yali mshinda. Hicho kigezo kimoja tu kinatosha kuona kua hao sio binadamu wa kawaida. Wengine Juzi walipiga risasi familia nzima, We unaangalia mambo kwa makengeza nini.
 
Ngoja nikuulize, je hauamini kama familia yako inaweza kua ndio familia bora zaidi duniani?
 
Back
Top Bottom