Hii ndio genocide ya kwanza duniani ambapo wahanga wanasaidia kuua wahanga wenzao

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Baada ya kutungwa stori za uongo kuwa israel inasababisha genocide hapo gaza, ukweli wa mambo umejiidhirisha wenyewe kuonesha wauaji wa raia wa kweli ni wakina nani, lakini cha ajabu dunia imetulia.

Hamas wanaendelea kuua wanachi wa gaza tena hadharani kwa hasira ya kushindwa vita.




 
Aisee..😢
Natamani tupate more details
Kama hii habari ni legit, sijui waangalizi wakimataifa waliowatetea hamas watakuja na kauli gani.
Ni wanafiki hao mkuu.

UN imeamua kuwa ya mlengwa wa kushoto, thus wapo upande wa hamas na gaza huku wakiitupia lawama israel kwa makosa anayofanya hamas
 
Watu wa jamii ile wana akili za kinyama sana sababu ya kukosa elimu na ndio maana wanakataliwa kila kona ya dunia hii.
 
Watu wa jamii ile wana akili za kinyama sana sababu ya kukosa elimu na ndio maana wanakataliwa kila kona ya dunia hii.
Elimu yao ni JIHAD.

tafakuri yao ni DAMU.

Asili ya itikadi yao ni UUAJI

NDIO MAANA WANACHOWAZA NI MACHAFUKO KILA MUDA.
 

Bro X ni mtandao wa mzayuni nakukumbusha Hilo, hao wanao uawa ni genge la Abu Shabu waliokua mstari wa mbele na IDF kupigana na Hamas kipindi chote Cha vita, Abu shahabu aliahidiwa Kuongoza Gaza iwapo wakishinda vita IDF kibao kimegeuka Trump na IDF wanalia lia dawa ya msaliti ndio hio, Hilo ndio genge lililokuwa Lina kula bata misaada wengine wakitaabika Kwa kukosa chakula, Hilo genge lilikua linafichua walipo Hamas na IDF wanashambulia.

Hio ni Haki Yao kuuawa na msako Bado unaendelea
 
Kwamba hamas wao kuua ni sawa na sio tatizo
 
🤣🤣🤣🤣

Ila itikadi kali nishawaambia akili zenu ni matapu tapu ya mavi.

Nyie adui yenu ni jews na wakristo, mtauana nyie kwa nyie lakin hasira mnaimalizia kwa jews.

Hii x unayosema ni ya jews ndio hii utakutana na propaganda za hamas na free palstine

NYIE PAMOJA NA ITIKADI YENU ASILI YENU NI UUAJI, MACHAFUKO NA UHARIBIFU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…