Hii ndio genocide ya kwanza duniani ambapo wahanga wanasaidia kuua wahanga wenzao

Hii ndio genocide ya kwanza duniani ambapo wahanga wanasaidia kuua wahanga wenzao

jf kama magreat thinker mko hivi basi tuna safari ndefu sana, mtu mmoja kaweka picha hapo kwenye uzi na kuropoka bila details za kutosha mnakurupuka na kuongea hovyo

Hao lazima watakuwa wasaliti,hao hamasi sio kwamba hawana akili waue watu wao wenyewe hovyo

Think big
 
Kwamba hamas wao kuua ni sawa na sio tatizo

Elewa nilichoandika, hao member ni sawa na IDF kwasababu wanamtandao wa kumchunguza na kumvamia Hamas, silaha, mafunzo na maelekezo vyote wanatoa Kwa mzayuni na Netanyau alithibitisha Hilo hivyo kuuawa hao jamaa ni sawa kabisa Tena hadharani ili iwe fundisho Kwa wengine. Hao marekani hawana uchungu na mpalestina walie muua miaka m 2 kila siku
 
Al Shabab, Boko Haram, Hamas, M23, Panya Road, watu wasiojulikana, wapiga nondo etc
Hii dunia binadamu tunafanyiana ukatili tu kama hatuna akili timamu. Sijui lini tunaweza kukaa kwa amani kila mtu akathamini uhai wa wengine
 
jf kama magreat thinker mko hivi basi tuna safari ndefu sana, mtu mmoja kaweka picha hapo kwenye uzi na kuropoka bila details za kutosha mnakurupuka na kuongea hovyo

Hao lazima watakuwa wasaliti,hao hamasi sio kwamba hawana akili wake waue wao wenyewe

Think big
SIJAWAHI KUONA ITIKADI KALI AKIWA NA AKILI PEVU.

SIJWAHI KUONA MPUMBAVU ANAJISEMA YEYE NI MPUMBAVU.

ATAWAITA WENGINE WAPUMBAVU ILI AJIFICHE KATIKA KIVULI CHA KUROPOKA KWAKE KUFICHA GUILTY YAKE.

HATUWEZI KUBALI KUWA ORDER YENU NDIO UTIMAMU, TAKE IT FROM ME WEWE NI KMA KAMA ILIVYO KMA
20251017_143444.jpg
 
🤣🤣🤣🤣

Ila itikadi kali nishawaambia akili zenu ni matapu tapu ya mavi.

Nyie adui yenu ni jews na wakristo, mtauana nyie kwa nyie lakin hasira mnaimalizia kwa jews.

Hii x unayosema ni ya jews ndio hii utakutana na propaganda za hamas na free palstine

NYIE PAMOJA NA ITIKADI YENU ASILI YENU NI UUAJI, MACHAFUKO NA UHARIBIFU.

Katka hili nenda chunguza who is Abu Shabu ni terrorist kutoka IS ambaye Yuko Kwenye payroll ya mmarekani na Israel na ndio kiongozi wa Hilo genge limelokuwa liki interfere harakat za hamas
 
Al Shabab, Boko Haram, Hamas, M23, Panya Road, watu wasiojulikana, wapiga nondo etc
Hii dunia binadamu tunafanyiana ukatili tu kama hatuna akili timamu. Sijui lini tunaweza kukaa kwa amani kila mtu akathamini uhai wa wengine
Tatizo ni kuwa hivyo vikundi ulivyovitaja vijana wao ni wahanga wa itikad unayokuta wanarithishwa kutoka udogoni.

Wanafundishwa kuhusu uhalali wa kuua, machafuko na uharibifu.

Pia unakuta wanafundishw kuhusu zawadi za kufikirka kama wakitimiza haya.

Ndio maana hawatakaa kuacha kutusabishia matatizo katika amani.
 
Aisee..😢
Natamani tupate more details
Kama hii habari ni legit, sijui waangalizi wakimataifa waliowatetea hamas watakuja na kauli gani.
Pale ndani ya Gaza kipindi vita inaendelea kuna kundi jengine linaloungwa mkono na Israel liliibuka likiwa na siraha na kazi yao kuu ilikua kuwaua Hamas pamoja na kuteka magari ya misaada ya chakula inayoingia Gaza. Pili Trump hana uwezo wa kuikosoa Israel lakini bado Israel inafanya mashambulizi Gaza

View: https://x.com/AJENews/status/1979067455457628208

View: https://x.com/AJENews/status/1979162857188004195
 
Bro X ni mtandao wa mzayuni nakukumbusha Hilo, hao wanao uawa ni genge la Abu Shabu waliokua mstari wa mbele na IDF kupigana na Hamas kipindi chote Cha vita, Abu shahabu aliahidiwa Kuongoza Gaza iwapo wakishinda vita IDF kibao kimegeuka Trump na IDF wanalia lia dawa ya msaliti ndio hio, Hilo ndio genge lililokuwa Lina kula bata misaada wengine wakitaabika Kwa kukosa chakula, Hilo genge lilikua linafichua walipo Hamas na IDF wanashambulia.

Hio ni Haki Yao kuuawa na msako Bado unaendelea
Aisee! Kwa hiyo X mtamdao wa kizayuni umepost uongo?
 
Elimu yao ni JIHAD.

tafakuri yao ni DAMU.

Asili ya itikadi yao ni UUAJI

NDIO MAANA WANACHOWAZA NI MACHAFUKO KILA MUDA.
Wapumbav sana hao watu...

Kuna ka group kao kule Facebook, yaani karibu post zao zote ni chuki tu dhidi ya wakristo hasa viongozi.... na wanafurahia matukio wanayofanyiwa mapadri inasikitisha sana.

Imagine wapo wengine wanasema eti watampanania Samia dhidi ya wale wote watakaoandamana, yaan eti watapambana na waandamanaji kisa tu samia asitoke madarakani, na wanaamini samia hapendwi na watu kwa sababu ni muislamu baasi, yaan hawaoni kabisa hata hii incompetence aliyonayo kama sababu, wao wanaamini sababu ni dini... ni wapumbavu kweli wale watu, hakika shule ni muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu.
 
kwahiyo hao watu ndio wanawakilisha waislamu wote?

je hakuna wanufaika wakikristo ambao wananufaika na huu ufisadi na wapo radhi mama aendelee kuwa madarakani wale mema ya nchi

mbona hamtumii hata uelewa wa kawaida tu

Acheni propaganda zenu za sijui kusoma muhimu kwani waislamu siku hizi hawasomi?

think big
 
jf kama magreat thinker mko hivi basi tuna safari ndefu sana, mtu mmoja kaweka picha hapo kwenye uzi na kuropoka bila details za kutosha mnakurupuka na kuongea hovyo

Hao lazima watakuwa wasaliti,hao hamasi sio kwamba hawana akili waue watu wao wenyewe hovyo

Think big
Ukiona sehemu marekani katoa mlio, ujue maslahi yake yameguswa, sio zaidi ya hapo. Kwa maelezo yako nakuunga mkono hoja yako mkuu. Pia kama mtoa mada anavyodai kuwa wanauana wao kwa wao, vipi kuhusu ile njaa iliyosababishwa na uzuiaji wa misaada ya kibinadamu nayo alisababisha Hamas?
 
Tatizo ni dini yao ya kiislam, hiyo dini kuua ni imani yao, Hii ni imani hatari kuwepo duniani na hakuna jitihada kubwa kuondoa ushenzi huu duniani
 
Tatizo ni dini yao ya kiislam, hiyo dini kuua ni imani yao, Hii ni imani hatari kuwepo duniani na hakuna jitihada kubwa kuondoa ushenzi huu duniani
WATU WA ITIKADI hii NI MAVI MATUPU KICHWANI
20251017_143444.jpg
 
Back
Top Bottom