Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Kwamba hamas wao kuua ni sawa na sio tatizo
SIJAWAHI KUONA ITIKADI KALI AKIWA NA AKILI PEVU.jf kama magreat thinker mko hivi basi tuna safari ndefu sana, mtu mmoja kaweka picha hapo kwenye uzi na kuropoka bila details za kutosha mnakurupuka na kuongea hovyo
Hao lazima watakuwa wasaliti,hao hamasi sio kwamba hawana akili wake waue wao wenyewe
Think big
🤣🤣🤣🤣
Ila itikadi kali nishawaambia akili zenu ni matapu tapu ya mavi.
Nyie adui yenu ni jews na wakristo, mtauana nyie kwa nyie lakin hasira mnaimalizia kwa jews.
Hii x unayosema ni ya jews ndio hii utakutana na propaganda za hamas na free palstine
NYIE PAMOJA NA ITIKADI YENU ASILI YENU NI UUAJI, MACHAFUKO NA UHARIBIFU.
Tatizo ni kuwa hivyo vikundi ulivyovitaja vijana wao ni wahanga wa itikad unayokuta wanarithishwa kutoka udogoni.Al Shabab, Boko Haram, Hamas, M23, Panya Road, watu wasiojulikana, wapiga nondo etc
Hii dunia binadamu tunafanyiana ukatili tu kama hatuna akili timamu. Sijui lini tunaweza kukaa kwa amani kila mtu akathamini uhai wa wengine
Pale ndani ya Gaza kipindi vita inaendelea kuna kundi jengine linaloungwa mkono na Israel liliibuka likiwa na siraha na kazi yao kuu ilikua kuwaua Hamas pamoja na kuteka magari ya misaada ya chakula inayoingia Gaza. Pili Trump hana uwezo wa kuikosoa Israel lakini bado Israel inafanya mashambulizi GazaAisee..😢
Natamani tupate more details
Kama hii habari ni legit, sijui waangalizi wakimataifa waliowatetea hamas watakuja na kauli gani.
Aisee! Kwa hiyo X mtamdao wa kizayuni umepost uongo?Bro X ni mtandao wa mzayuni nakukumbusha Hilo, hao wanao uawa ni genge la Abu Shabu waliokua mstari wa mbele na IDF kupigana na Hamas kipindi chote Cha vita, Abu shahabu aliahidiwa Kuongoza Gaza iwapo wakishinda vita IDF kibao kimegeuka Trump na IDF wanalia lia dawa ya msaliti ndio hio, Hilo ndio genge lililokuwa Lina kula bata misaada wengine wakitaabika Kwa kukosa chakula, Hilo genge lilikua linafichua walipo Hamas na IDF wanashambulia.
Hio ni Haki Yao kuuawa na msako Bado unaendelea
Aisee! Kwa hiyo X mtamdao wa kizayuni umepost uongo?
Wapumbav sana hao watu...Elimu yao ni JIHAD.
tafakuri yao ni DAMU.
Asili ya itikadi yao ni UUAJI
NDIO MAANA WANACHOWAZA NI MACHAFUKO KILA MUDA.
kwahiyo hao watu ndio wanawakilisha waislamu wote?Wapumbav sana hao watu...
Kuna ka group kao kule Facebook, yaani karibu post zao zote ni chuki tu dhidi ya wakristo hasa viongozi.... na wanafurahia matukio wanayofanyiwa mapadri inasikitisha sana.
Imagine wapo wengine wanasema eti watampanania Samia dhidi ya wale wote watakaoandamana, yaan eti watapambana na waandamanaji kisa tu samia asitoke madarakani, na wanaamini samia hapendwi na watu kwa sababu ni muislamu baasi, yaan hawaoni kabisa hata hii incompetence aliyonayo kama sababu, wao wanaamini sababu ni dini... ni wapumbavu kweli wale watu, hakika shule ni muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu.
Hamas inawaua akina nani hapo?Kwahio ni kweli Trump alicho sema Kwamba hao ni raia wema Hamas inawaua? Be honest to yourself
Ukiona sehemu marekani katoa mlio, ujue maslahi yake yameguswa, sio zaidi ya hapo. Kwa maelezo yako nakuunga mkono hoja yako mkuu. Pia kama mtoa mada anavyodai kuwa wanauana wao kwa wao, vipi kuhusu ile njaa iliyosababishwa na uzuiaji wa misaada ya kibinadamu nayo alisababisha Hamas?jf kama magreat thinker mko hivi basi tuna safari ndefu sana, mtu mmoja kaweka picha hapo kwenye uzi na kuropoka bila details za kutosha mnakurupuka na kuongea hovyo
Hao lazima watakuwa wasaliti,hao hamasi sio kwamba hawana akili waue watu wao wenyewe hovyo
Think big
Kajielimishe kidogo halafu uje ukomenti tenaTatizo ni dini yao ya kiislam, hiyo dini kuua ni imani yao, Hii ni imani hatari kuwepo duniani na hakuna jitihada kubwa kuondoa ushenzi huu duniani