Hii ndio genocide ya kwanza duniani ambapo wahanga wanasaidia kuua wahanga wenzao

waislamu wengi hususani wanaoishi pwani na mpaka huko zanzibar ni mazero brain kabisa(najua wapo baadhi wanajielewa) ila wengi wao wana uwezo mdogo sana wa kifikra.

Imagine mtu anakwambia "mbona hata Magufuli aliteka na kuua watu, lakini hamkuandamana kumtoa'"? .. yaani hapo eti amejenga hoja, na sio muislamu mmoja au wawili au watatu wenye reasoning ya kipumbavu namna hii, yaani karibu kila muislam ambaye ni mtetezi wa samia hii ndio argument, sasa hao watu wana akili? Mtu aliyeenda shule akaelimika anaweza kujustify mauaji kwa hoja za namna hiyo kweli?

Kuhusu wakristo wanaomtetea samia kwa sababu ya matumbo yao, wapo kibao na tena hao ndio wapumbavu zaidi, maana wanaona wazi kabisa jinsi gani Samia anavyonyanyasa viongozi wetu wa dini mpaka anataka kuwaua kabisa, lakini wao wapo eti "octoba tunatiki" sijui "mama mitano tena"....yoote hiyo hili waenda wakaib na kulifisadi taifa, kisha hizo hela wale na watoto wao zingine watuletee sadaka kanisani... ovyo sana hao wakristo.
 
🤣🤣🤣

MAJINGA MATUPU KABISA
 
Nioneshe uhalali wa hamas wa kujua ndugu zao wenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…