Hii ndio hali halisi ya mambo huko Nachingwea

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huku viongozi wa Nchi wakiendelea kusafiri na Mamia ya Wapambe kwa gharama za kutisha, huko Kwao Nachingwea hali ndio kama mnavyoiona.



Tunashauri kwamba badala ya viongozi kusafiri na Umati wa Chawa wao , ni vema chawa hao wakapunguzwa ili hela itakayookolewa irekebishe umasikini huu.

 
Kwani mbunge wa hapa yuko wapi? (in Jiwe’s voice)
 
Lakini eneo hilo si kuna diwani? Akienda kwenye viKao halmashauri anajadili mambo gani? Si kuna mkurugenzi pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…