Hii ndio hali halisi ya mambo huko Nachingwea

Hii ndio hali halisi ya mambo huko Nachingwea

Njoo uzamie kwangu, tutapata solution nzuri zaid🤣😂
hiyo sio solution nzuri hata kidogo. Wale wanaozamia kwenye meli inakuaje? Niende pale bandarini nikazame ndani ya meli kwa kificho.
Hata nikifia njiani poa tu lkn niwe nimeondoka hapa bongo
 
hiyo sio solution nzuri hata kidogo. Wale wanaozamia kwenye meli inakuaje? Niende pale bandarini nikazame ndani ya meli kwa kificho.
Hata nikifia njiani poa tu lkn niwe nimeondoka hapa bongo
Bongo nyoso
 
Sio sawa hata kama hamtaki kuambiwa.
1. Mwalimu wa Praimari kwenda nyumbani na 300,000/- wakati mbunge kwa siku anapokaa bungeni kupata 450,000.

2. Kutawanya land cruiser nchi nzima wakati watoto wetu wanatumia majivu kama daftari.

3. Kuwa na kiwango kikubwa cha Degrees ambazo ni useless bila kuweka mkakati ya kulinusuru taifa.

Hili nchi is beyond repair. Immediate actions need to be applied
 
Huku viongozi wa Nchi wakiendelea kusafiri na Mamia ya Wapambe kwa gharama za kutisha, huko Kwao Nachingwea hali ndio kama mnavyoiona.

View attachment 2780027

Tunashauri kwamba badala ya viongozi kusafiri na Umati wa Chawa wao , ni vema chawa hao wakapunguzwa ili hela itakayookolewa irekebishe umasikini huu.

View attachment 2780030
Mkuu hapo kwenye picha Luca Mwasambwanda niyupi hapo? Au ni mcheza segere na mpiga kinanda tuu hapo Lumumba harusiwi kusafiri??
 
Back
Top Bottom