ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Faida inayopatikana na Ziara ya mama India ni ya manufaa kuliko hasara ya Hako kadarasa.Ukitaka tufunguke zaidi hii nchi itatikisika vibaya sana !
Wivu tuUpo kwenye ignored list.
📌📌📌📌Nchi ya KISENGE saana hii
Wewee...Faida inayopatikana na Ziara ya mama India ni ya manufaa kuliko hasara ya Hako kadarasa.
View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1712458481062772917?t=rmWnWnr7B9sCyJMU22xbOA&s=19
Am so serious hujui tu😀Sijawahi tamani zamia sehemu, hivyo sijafanya tafiti, ila Luxembourg hivi naona patatufaa, nchi za scandinavia huko, BRUNEI huko panaweza kufaa zaidi
ujinga wetu ndio mtaji waoHuku viongozi wa Nchi wakiendelea kusafiri na Mamia ya Wapambe kwa gharama za kutisha, huko Kwao Nachingwea hali ndio kama mnavyoiona.
View attachment 2780027
Tunashauri kwamba badala ya viongozi kusafiri na Umati wa Chawa wao , ni vema chawa hao wakapunguzwa ili hela itakayookolewa irekebishe umasikini huu.
View attachment 2780030
Njoo uzamie geto kwangu, kila kitu juu yangu na kodi ya meza inaachwa, nitakuzingatia frresh.😂🤣Am so serious hujui tu😀
hiyo sio solution nzuri hata kidogo. Wale wanaozamia kwenye meli inakuaje? Niende pale bandarini nikazame ndani ya meli kwa kificho.Njoo uzamie kwangu, tutapata solution nzuri zaid🤣😂
Hlafu hili jimama ndiyo lenye roho mbaya kuliko marais wote waliotangulia. Halijali kabisa wananchi maskini.Aliyeshiba hamjui mwenye njaa
Hapo atakuja Lucas mwashambwa kusema kuwa ujenzi wa shule hiyo umevunja rekodi ya ufanisi ya mama.Huku viongozi wa Nchi wakiendelea kusafiri na Mamia ya Wapambe kwa gharama za kutisha, huko Kwao Nachingwea hali ndio kama mnavyoiona.
View attachment 2780027
Tunashauri kwamba badala ya viongozi kusafiri na Umati wa Chawa wao , ni vema chawa hao wakapunguzwa ili hela itakayookolewa irekebishe umasikini huu.
View attachment 2780030
Bongo nyosohiyo sio solution nzuri hata kidogo. Wale wanaozamia kwenye meli inakuaje? Niende pale bandarini nikazame ndani ya meli kwa kificho.
Hata nikifia njiani poa tu lkn niwe nimeondoka hapa bongo
Hii picha ni wapi?Huku viongozi wa Nchi wakiendelea kusafiri na Mamia ya Wapambe kwa gharama za kutisha, huko Kwao Nachingwea hali ndio kama mnavyoiona.
View attachment 2780027
Tunashauri kwamba badala ya viongozi kusafiri na Umati wa Chawa wao , ni vema chawa hao wakapunguzwa ili hela itakayookolewa irekebishe umasikini huu.
View attachment 2780030
Hiyo picha ni darasa la ainagani, hadi wahuni wapo hapo.wanapiga picha kibanda cha kuchezea kamali wahuni wanatunga habari.Kwani mbunge wa hapa yuko wapi? (in Jiwe’s voice)
😆😆😆Nchi ya KISENGE saana hii
Mkuu hapo kwenye picha Luca Mwasambwanda niyupi hapo? Au ni mcheza segere na mpiga kinanda tuu hapo Lumumba harusiwi kusafiri??Huku viongozi wa Nchi wakiendelea kusafiri na Mamia ya Wapambe kwa gharama za kutisha, huko Kwao Nachingwea hali ndio kama mnavyoiona.
View attachment 2780027
Tunashauri kwamba badala ya viongozi kusafiri na Umati wa Chawa wao , ni vema chawa hao wakapunguzwa ili hela itakayookolewa irekebishe umasikini huu.
View attachment 2780030