Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ndo uwekezaji wa wenzetu tukisema hawa DP watatuingiza ktk shida maCCM yanalazimisha.upuuzi kabisaHii inasikitisha sana
Huku limkataba la bandari limepitishwa kwa lazima bila kujua kilichomo ndani
Waarabu wa DP world Dubai wamevamia nyanda za juu kusini kujenga misikiti
Kazi ipo?
Nimemsikia Cha wa moja pale njombe anasema DP wanaenda kujenga hoteli sijui watz wanashindwa kujenga hivyo vihoteli? Vinamsaidia nn mtanzania maskini?Hii inasikitisha sana
Huku limkataba la bandari limepitishwa kwa lazima bila kujua kilichomo ndani
Waarabu wa DP world Dubai wamevamia nyanda za juu kusini kujenga misikiti
Kazi ipo?
Na misikiti juu wanajengewa wajipangeNimemsikia Cha wa moja pale njombe anasema DP wanaenda kujenga hoteli sijui watz wanashindwa kujenga hivyo vihoteli? Vinamsaidia nn mtanzania maskini?
Noma sana !Hii inasikitisha sana
Huku limkataba la bandari limepitishwa kwa lazima bila kujua kilichomo ndani
Waarabu wa DP world Dubai wamevamia nyanda za juu kusini kujenga misikiti
Kazi ipo?
Lipo moja la DCHuko Kyela hakunaga magari?
Umenikumbusha mbali sana asee miaka ya 70 huko tulivyokuwa tunapanga foleni kununua pizza na burger. Ila nyerere alitunyanyasa sana.Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari.
Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.
View attachment 2791181
Kumbe mhengaUmenikumbusha mbali sana asee miaka ya 70 huko tulivyokuwa tunapanga foleni kununua pizza na burger. Ila nyerere alitunyanyasa sana.
Hata mimi nimejiuliza maana naona pkpk tuu.Huko Kyela hakunaga magari?
Weee !!!Mume mkurugenzi wa EWURA na mke ni spika wa bunge hayo ndio madhara yake.
Watakuambia hiyo ni ishara ya kukua kwa purchasing power ya watanzaniaBadala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari.
Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.
View attachment 2791181
CHADEMA mhakikishe hili tatizo linaisha mtakapopewa nchiBadala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari.
Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.
View attachment 2791181
DP world wajenge Barabara za lami Kila mtaa Jiji Mbeya maana kazi aliyoifanya Tulia siyo mchezo.Hii inasikitisha sana
Huku limkataba la bandari limepitishwa kwa lazima bila kujua kilichomo ndani
Waarabu wa DP world Dubai wamevamia nyanda za juu kusini kujenga misikiti
Kazi ipo?
Tumepokea ushauri wako na tayari umefanyiwa kaziCHADEMA mhakikishe hili tatizo linaisha mtakapopewa nchi