Hii ndio hali halisi ya Uhaba wa Mafuta Kyela, foleni utadhani zile za maduka ya RTC

Hii ndio hali halisi ya Uhaba wa Mafuta Kyela, foleni utadhani zile za maduka ya RTC

Tumepokea ushauri wako na tayari umefanyiwa kazi
Kuna mwanaJF mmoja hapa kila nikihojiana naye humu huwa ananiuliza kama tukiitoa CCM ni chama gani mbadala?

Jibu analijua lakini kwa sababu ya propaganda na siasa hasi zilizoasisiwa na CCM anaamini nchi hii ni mali ya CCM na hatuna la kufanya.

Tunawaombea heri
 
Umenikumbusha mbali sana asee miaka ya 70 huko tulivyokuwa tunapanga foleni kununua pizza na burger. Ila nyerere alitunyanyasa sana.
Miaka ya 70 zilikuwepo pizza na burger 🍔 Kweli ??! 😅😅
Miaka hiyo nakumbuka hata chips mayai ilikuwa haijaanza kupikwa !! 😅🙏🙏
Sisi wahenga wa miaka ya 1950 tupo humu wala hatukuona manyanyaso yeyote aliyotufanyia Nyerere 🙏🙏😅 !
 
Kuna mwanaJF mmoja hapa kila nikihojiana naye humu huwa ananiuliza kama tukiitoa CCM ni chama gani mbadala?

Jibu analijua lakini kwa sababu ya propaganda na siasa hasi zilizoasisiwa na CCM anaamini nchi hii ni mali ya CCM na hatuna la kufanya.

Tunawaombea heri
Wahenga walisemaga Umoja ni Nguvu na utengano ni Udhaifu !!
Je Umoja miongoni mwa Wananchi wote upo ??!!
 
Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari.

Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.

View attachment 2791181
Astaghifilullah! Wanaenda kuzika au ni foleni ya kununua "wese"?
 
Back
Top Bottom