Hii ndio hali halisi ya Uhaba wa Mafuta Kyela, foleni utadhani zile za maduka ya RTC

Tumepokea ushauri wako na tayari umefanyiwa kazi
Kuna mwanaJF mmoja hapa kila nikihojiana naye humu huwa ananiuliza kama tukiitoa CCM ni chama gani mbadala?

Jibu analijua lakini kwa sababu ya propaganda na siasa hasi zilizoasisiwa na CCM anaamini nchi hii ni mali ya CCM na hatuna la kufanya.

Tunawaombea heri
 
Umenikumbusha mbali sana asee miaka ya 70 huko tulivyokuwa tunapanga foleni kununua pizza na burger. Ila nyerere alitunyanyasa sana.
Miaka ya 70 zilikuwepo pizza na burger πŸ” Kweli ??! πŸ˜…πŸ˜…
Miaka hiyo nakumbuka hata chips mayai ilikuwa haijaanza kupikwa !! πŸ˜…πŸ™πŸ™
Sisi wahenga wa miaka ya 1950 tupo humu wala hatukuona manyanyaso yeyote aliyotufanyia Nyerere πŸ™πŸ™πŸ˜… !
 
Wahenga walisemaga Umoja ni Nguvu na utengano ni Udhaifu !!
Je Umoja miongoni mwa Wananchi wote upo ??!!
 
Astaghifilullah! Wanaenda kuzika au ni foleni ya kununua "wese"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…