Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao



Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona .



Jambo la Muhimu ambalo hupaswi kusahau ni kwamba , January Makamba alipita bila kupingwa
 
Wananchi wengi wanasema Mbunge wao ni mbunge wa Kiangazi
Mchakato wa kutafuta mkandarasi mpembuzi bado unaendelea na upo kwenye hatua nzuri, na muda si mrefu utakamilika baada ya mchakato wa kutafuta kamati ya kuchakata maombi ya wataalam watakaofanya mchakato wa kumpata mkandarasi mpembuzi kukamilika.

SIJUI UMEELEWA!!??


 
Lushoto ilitakiwa iwe ni Switzerland πŸ‡¨πŸ‡­ ya Tanzania,nilibahatika kufika kule last December,Mwenyezi Mungu kawapa super wilaya ila wale wabunge wake 3 ni zeros kabisa,yaani hawawezi kujenga hata ile barabara ya mombo to mlalo,yaani barabara ipo vile vile alivyoiacha mjerumani,ilitakiwa ile pass ilambwe vema,jenga cable cars kutoka kule milimani hadi barabara kuu ya Moshi,jenga virukio vya maparachuti,yaani hizi ni vyanzo vya usd tu,vijana wake wamekua vibarua na maisha yao wamejikatia tamaa
 
Inzeze sana
 
Nchi za AFRICA zote hufanana ukitoa waarabu na south Africa
Mkuu tembelea Namibia πŸ‡³πŸ‡¦ na Botswana πŸ‡§πŸ‡Ό kupo super,A3 yao ni super pamoja kuwa inapita kwenye national park (more than 300km za mbugani tu),pale mikumi national park (50km kuna matuta yasiyopungua 40!!na wanaopita pale hasa usiku pls guys kuwa careful,kuna handaki pale linaumiza magari kila siku ,lipo pale getini ukitokea Duma,ni hatari mno)
 
Maendeleo ya eneo lolote hufanywa na wakazi husika kutokana na fikra na vitendo vyao katika shughuli za kiuchumi (mbunge ni mwananchi anayewakilisha maoni na kero zao bungeni, ili serikali ipate taarifa ikatatue, hasa kwa zile huduma muhimu kama elimu, afya, barabara, maji, ....).
Hata hivyo, wananchi wanaweza kuiwajibisha serikali kwa kuiondoa madarakani (kupitia kura au njia nyingine halali), pale wanapoona haifanyi kulingana na matakwa au mategemeo yao.
 
Nimemuongezea Mauritius na Cape Verde
 
Ikumbuke kwamba January Makamba alipita bila kupingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…