Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao

View attachment 2972079

Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona .

View attachment 2972080

Jambo la Muhimu ambalo hupaswi kusahau ni kwamba , January Makamba alipita bila kupingwa
Mbunge na pia waziri bumbuli ni ya kipuuuzi namna hiyo? Halafu anataka urais! Tz iwe kama bumbuli?
 
Tokea 2013 najua ni wilaya ambayo mwaka 2012 wilaya ya kilindi ilimegwa kutoka handeni

Ukikosea kubali sasa wewe hutaki kukubali kwamba bumbuli ni wilaya yaani unabishana na mpaka wizara ya tamisemi
Bumbuli siyo Wilaya bali ni Halmashauri iliyoko ndani ya Wilaya ya Lushoto
 
Ila jengo la utawala la Bumbuli DC limenishangaza.

Nilijua ramani ni moja tu kwa sasa kwa majengo yote ya utawala ya Halmashauri yanayojengwa.

images.jpeg
 
Lushoto ilitakiwa iwe ni Switzerland 🇨🇭 ya Tanzania,nilibahatika kufika kule last December,Mwenyezi Mungu kawapa super wilaya ila wale wabunge wake 3 ni zeros kabisa,yaani hawawezi kujenga hata ile barabara ya mombo to mlalo,yaani barabara ipo vile vile alivyoiacha mjerumani,ilitakiwa ile pass ilambwe vema,jenga cable cars kutoka kule milimani hadi barabara kuu ya Moshi,jenga virukio vya maparachuti,yaani hizi ni vyanzo vya usd tu,vijana wake wamekua vibarua na maisha yao wamejikatia tamaa
Good analysis. Kweli ulifika.
Nina mengi ya kuandika ila acha nifiche utambulisho
 
Back
Top Bottom