Swala siyo kuchaguliwa na nani. Hiyo Kenya usiyotaka kuisikia wananchi wanawachagua hao magavana na takataka zote nyingine.Unataka watu wawajibike kivip nawakati mkuu wa mkoa, wa wilaya na mkurugenzi ni wateule wa rais
Hawaka pale kwa ajili ya wananchi bali kwa ajili ya Rais
Kwani katika akili yako ndogo, huyo Rais anayechaguliwa na watu kwa nini watu hao hao hawawezi kumwajibisha kama unavyodai hapa.
Akili isiyokuwa na uwezo wa kuchambua mambo kwa kina mara zote hukimbilia kwenye mambo rahisi rahisi. Na zaidi ya hivyo, inaonyesha wazi kabisa hata hujui China muundo wao wa serikali upoje, na unarundika tu pamoja na nchi ambazo zina mifumo tofauti kabisa.
Nimekudharau sana.