Sina muda wa kupoteza na mtu mpumbavu.Sasa kama hujui bumbuli ni wilaya jambo dogo kama hilu hulijui ujioni kama bado unasafari ndefu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina muda wa kupoteza na mtu mpumbavu.Sasa kama hujui bumbuli ni wilaya jambo dogo kama hilu hulijui ujioni kama bado unasafari ndefu sana
Kwenu ni wapi, mnajibaraguza humu wakati mmekimbia kwenu. Ht hivyo wananchi wala mbunge hajengi lami inajengwa na serikali.Lushoto ilitakiwa iwe ni Switzerland 🇨🇭 ya Tanzania,nilibahatika kufika kule last December,Mwenyezi Mungu kawapa super wilaya ila wale wabunge wake 3 ni zeros kabisa,yaani hawawezi kujenga hata ile barabara ya mombo to mlalo,yaani barabara ipo vile vile alivyoiacha mjerumani,ilitakiwa ile pass ilambwe vema,jenga cable cars kutoka kule milimani hadi barabara kuu ya Moshi,jenga virukio vya maparachuti,yaani hizi ni vyanzo vya usd tu,vijana wake wamekua vibarua na maisha yao wamejikatia tamaa
Hata unge-google ujiridhishe kama bumbuli ni wilaya ila ukaendelea kukaza shingo yaan una ujuaji wa kijinga sanaSina muda wa kupoteza na mtu mpumbavu.
Nadhani huko kichwani kwako huko sawa hata kidogo. Wewe ume-google' na kukuta Bumbuli ni wilaya?Hata unge-google ujiridhishe kama bumbuli ni wilaya ila ukaendelea kukaza shingo yaan una ujuaji wa kijinga sana
Bumbuli ni wilaya tokea 2013 lakin baada ya miaka 11 bado unabisha kwa nguvu zote alafu unajiona unaakili we ni mjinga tu
Tokea 2013 najua ni wilaya ambayo mwaka 2012 wilaya ya kilindi ilimegwa kutoka handeniNadhani huko kichwani kwako huko sawa hata kidogo. Wewe ume-google' na kukuta Bumbuli ni wilaya?
Sijui nikusaidie vipi mtu wa aina yako.Tokea 2013 najua ni wilaya ambayo mwaka 2012 wilaya ya kilindi ilimegwa kutoka handeni
Ukikosea kubali sasa wewe hutaki kukubali kwamba bumbuli ni wilaya yaani unabishana na mpaka wizara ya tamisemi
Acha upumbavu ,wewe kenge sio msemaji wangu,serikali ni nani?,tapeli gwajima alivyoahidi pale kawe ni uongo nhe!na unavyomsifia kuwa eti no 1 amejenga zahanati kijijini kwako nao ni uongo,uongo ni ushetani wa hali ya juuKwenu ni wapi, mnajibaraguza humu wakati mmekimbia kwenu. Ht hivyo wananchi wala mbunge hajengi lami inajengwa na serikali.
Pale ambapo politicians wanatumia njia za uongo ili kupata kura za poor of the poorest na bado NEC inaona ni sawa mgombea kutumia njia za kilaghai kupata ubungeSelfishness ndio hulka yetu !
Tunafikiria kujilimbikizia kwanza !!
Maendeleo baadaye !
Hao jamaa ndio wabaya wa Nchi hii !Pale ambapo politicians wanatumia njia za uongo ili kupata kura za poor of the poorest na bado NEC inaona ni sawa mgombea kutumia njia za kilaghai kupata ubunge
Usiku mwema mkuuSiasa za hii nchi zinatia msongo kwa kweli, mimi wacha nipumzike daah.
Ahsante Chief, kwako pia.Usiku mwema mkuu
Baba yake anasemajeMara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao
View attachment 2972079
Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona .
View attachment 2972080
Jambo la Muhimu ambalo hupaswi kusahau ni kwamba , January Makamba alipita bila kupingwa
Kumbuka Mwalimu hakuwa mbungehata mwalimu hakusukumiza mandeleo butiama pekee
Tume 5 mingine wasambaa na wabondei waendelee hivyo hivyo maana ndio wamechagua hivyo.Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao
View attachment 2972079
Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona .
View attachment 2972080
Jambo la Muhimu ambalo hupaswi kusahau ni kwamba , January Makamba alipita bila kupingwa
😆😆😆😆Watu wana machepe kwapani muda wote Ni kufukua tu gravesyards hii JF 🤣🤣