Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,880
Hii kitu ya madawa ya kulevya inatuharibia kabisa watoto wetu.

Huyu kijana nafikiri alishiriki Big Brother mwaka fulani na kuiwakilisha Tanzania. Na kwa sasa hii ndio hali ya afya ya Nando, zaidi ya Chiddy Benzino.

Huyu ndio kijana mwingine anayetoa "alarm" kwa vijana wa kisasa kuwa dawa za kulevya sio "ujanja" ni majanga. Unaweza kuanza na kuvuta kisirisiri, lkn majibu ya madhara yake yakawa hadharani na unapotoka hadharani basi muda unakuwa umekwisha kwenda.

Tuwasaidie vijana wetu waepukane na matumizi ya madawa ya kulevya.

image.jpeg

=======

NANDO AKIWA KWENYE MAHOJIANO AKIFAFANUA KUHUSU MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

 
Mungu wangu! huyu kijana ameisha kiasi hicho lini?
Nakumbuka ni mwaka huu alifanya kipindi na zamaradi mketema clouds tv, alikuwa anaonekana yuko poa!
Ila alikiri anatumia kidogo sasa labda kimoja kilijidoble siku za karibuni
 
aman kwa Kama voda...waambie wadogo zako waache poda wale mmea...[HASHTAG]#jay[/HASHTAG] mo#
 
Hii kitu ya madawa ya kulevya inatuharibia kabisa watoto wetu.Huyu kijana nafikiri alishiriki Big Brother mwaka fulani na kuiwakilisha Tanzania.

Na kwa sasa hii ndio hali ya afya ya Nando.Zaidi ya Chiddy Benzino,huyu ndio kijana mwingine anayetoa "alarm" kwa vijana wa kisasa kuwa dawa za kulevya sio "ujanja" ni majanga,unaweza kuanza na kuvuta kisirisiri,lkn majibu ya madhara yake yakawa hadharani,na unapotoka hadharani,basi muda unakuwa umekwisha kwenda.

Tuwasaidie vijana wetu waepukane na matumizi ya madawa ya kulevya.

View attachment 453137

Jmn nimejikuta naumia sanaa siamin
 
Back
Top Bottom