ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
muulize huyo muimbaji uliyemtaja amsterdam na tokyo alikuwa anapelekaga nini tumboni?Jay Moe.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muulize huyo muimbaji uliyemtaja amsterdam na tokyo alikuwa anapelekaga nini tumboni?Jay Moe.....
Hizi ronja mpya mkuu, details zaidmuulize huyo muimbaji uliyemtaja amsterdam na tokyo alikuwa anapelekaga nini tumboni?
inajulikana kaka,ni punda huyo ila kuimba wanaoutumia sasa,dahHizi ronja mpya mkuu, details zaid
Hivi Ili uwe Punda lazima uwe celebrity??inajulikana kaka,ni punda huyo ila kuimba wanaoutumia sasa,dah
This guy namjua sana tena sana,nimekua nae street moja Mikocheni.Hii kitu ya madawa ya kulevya inatuharibia kabisa watoto wetu.Huyu kijana nafikiri alishiriki Big Brother mwaka fulani na kuiwakilisha Tanzania.
Na kwa sasa hii ndio hali ya afya ya Nando.Zaidi ya Chiddy Benzino,huyu ndio kijana mwingine anayetoa "alarm" kwa vijana wa kisasa kuwa dawa za kulevya sio "ujanja" ni majanga,unaweza kuanza na kuvuta kisirisiri,lkn majibu ya madhara yake yakawa hadharani,na unapotoka hadharani,basi muda unakuwa umekwisha kwenda.
Tuwasaidie vijana wetu waepukane na matumizi ya madawa ya kulevya.
View attachment 453137
This guy namjua sana tena sana,nimekua nae street moja Mikocheni.
He was innocent,charming guy plus good football player,nakumbuka tulikua tunacheza wote mpira shule ya msingi Mikocheni B.
Wengi wanamjua kwa jina la NANDO (Hapa sitoweka jina lake halisi).
Mama'ake mzazi yupo Marekani na wakati anaenda Big Brother Africa alikua uko USA as a model katika kampun flani hv baada ya mama'ake mzazi kumfanyia mchongo.
(Alimaliza Four4 Neema Trust High School)
Back to wat happened to him.
Mid in 2013 nilikutana nae Rose Garden (as we're gud friends aiseee) wakat amerud toka BBA (mnakumbuka ni nin alifanya uko mpaka akatolewa ila mchongo sisi watu wa karibu tulijua kabisa yeye ndo anashinda maana tayari tulipaswa kwenda South Africa kwaajili ya party yake)
Akanibom siku iyo apo Rose Garden kuku mzima ale,nikampa pesa elfu34 maana ni mwanangu kabisa tumeshibana.
Nikasepa. Nikazunguka na mizunguko yangu narud eneo ilo tena nikamkuta (imagine akanibom tena lakin wakat huu tayari amelewa na madawa na hakumbuki kama tulionana,nikampa buku5 ingawa nilionywa nisimpe)
Sisi watu wakaribu tunawalaumu familia yake ya pale Mikocheni.
Back in 2015 juz juz tu nikakutana nae tena ila this time around it was worse aiseeee. Imagine nakutana nae,hanijui kwa jina ila sura anakumbuka. Anaomba kiroba namnunulia bia ila hatak kuichukua anasema niiache atakunywa baadae ila ukitoka anabadilishiwa anapewa UNGA.
Mikocheni,kino,magomen na Msasani ni sehem mbaya kwa vijana wa mambo ya UNGA.
NAUMIA SANA KUMUONA JAMAA HIVI ILA SINA LAKUFANYA.
NAUMIA GUYS TRUST ME
Kaka do i know u.?? Yaan CT ndo kampa majanga mdogo wake. Mara ya mwisho namuona nililia aiseeee.mazee acha tu nafikiri kina Njota ndo wamemuharibu ,hivi CT yule albino kaka yake huyu jamaa hatumii???kina bob chopa,kevin wote hoi,nilihama huko muda kama miaka 2 lakini inasikitisha sana kumuona Amir amekuwa hivi
CT yeye anatumia siku hizi????embu angalia hii video ya Amir maskini ya mungu,dauhKaka do i know u.?? Yaan CT ndo kampa majanga mdogo wake. Mara ya mwisho namuona nililia aiseeee.
Mungu ni mkubwa
mfaume yuko rehab kigamboni kwa miezi 9 sasa kaacha hata mwili umerudi kabisa,he is okay now![]()
Dogo mfaume
Hongera zake kakaza asemfaume yuko rehab kigamboni kwa miezi 9 sasa kaacha hata mwili umerudi kabisa,he is okay now
Cc potiiHizi ronja mpya mkuu, details zaid
Ronja ni nini. ?Hizi ronja mpya mkuu, details zaid
Nilikuwa na huzuni baada ya kusoma huu uzi ila niliposoma comment yako ikabidi nicheke dahHii kitu Ni balaa itabidi nijaribu maana yaonyesha utamu wake Ni noooooomaaqq
Rio mchezaji au huyu shoga wa bongo?Tatzo wanakula makap ya unga alaf hawajui kujtunza Rio anakula unga kama nyoka lakn yupo vzr tu