ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
huyu hapaHongera zake kakaza ase
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu hapaHongera zake kakaza ase
Kaa law NIMEUMIAA SANAAA JAMAA ALIWAHIPOTEZA BEGI NIKAMPELEKEA KINONDONI.. ILA NAHISI MAZINGIRA NAYOO YANACHANGIA KAMANIHUYU WANAKAA KINONDONI BP KWANYUMA.. SOSAD JAMANI....Hii kitu ya madawa ya kulevya inatuharibia kabisa watoto wetu.
Huyu kijana nafikiri alishiriki Big Brother mwaka fulani na kuiwakilisha Tanzania. Na kwa sasa hii ndio hali ya afya ya Nando, zaidi ya Chiddy Benzino.
Huyu ndio kijana mwingine anayetoa "alarm" kwa vijana wa kisasa kuwa dawa za kulevya sio "ujanja" ni majanga. Unaweza kuanza na kuvuta kisirisiri, lkn majibu ya madhara yake yakawa hadharani na unapotoka hadharani basi muda unakuwa umekwisha kwenda.
Tuwasaidie vijana wetu waepukane na matumizi ya madawa ya kulevya.
View attachment 453137
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siyo yupo location kweli
wamemnyoaaa nanywelekabisaa aisee nitakaaa Mbagalaa nikikosakote sioo kinondonii neverHii kitu Ni balaa itabidi nijaribu maana yaonyesha utamu wake Ni noooooomaaqq
Ukilia hivo yaan najikuta naumia kabsa moyoniJamani jamani...Nando wangu[emoji30][emoji30][emoji30]...i was watching BBA kwa ajili yake tu dah....and i thought anatumia weed tu...kumbe na sembe nayo....tumuombeeni jamani...Mungu amsaidie....
Mahandsome wanaisha sasa kitaa....
SINZA MAPAMBANOO KWA WACHINAA ILEMASHINE INAONDOA HADI SUMU YA HIVHizi ni propaganda nini wakuu?
Jamaa kabadilika kichizi!!
Sijui ni kweli naskia ipo mashine yenyewe ipo kama beseni la kuogeshea watoto unatumbukiza huko miguu inakuwa inanyonya sumu mwilini,
MchezajRio mchezaji au huyu shoga wa bongo?
Daah afu class yao ya Neema Trust Secondary wameharibika sana, Amir alisoma form five NTSS siyo form four class ya kina godzilla, Kaloosh(R.I.P), Ham Lundenga, alikuwa anakipaji cha mpira nakumbuka alikuwa mmoja wa wachezaji tegemezi sana. Ni kweli akishatumia maunga yake anasahau majina hata muwe washkaji vipi, starehe zimewaharibu sana madogo kwa hiyo shule kuna kama wanne wapo rehab, mashoga na wasagajiThis guy namjua sana tena sana,nimekua nae street moja Mikocheni.
He was innocent,charming guy plus good football player,nakumbuka tulikua tunacheza wote mpira shule ya msingi Mikocheni B.
Wengi wanamjua kwa jina la NANDO (Hapa sitoweka jina lake halisi).
Mama'ake mzazi yupo Marekani na wakati anaenda Big Brother Africa alikua uko USA as a model katika kampun flani hv baada ya mama'ake mzazi kumfanyia mchongo.
(Alimaliza Four4 Neema Trust High School)
Back to wat happened to him.
Mid in 2013 nilikutana nae Rose Garden (as we're gud friends aiseee) wakat amerud toka BBA (mnakumbuka ni nin alifanya uko mpaka akatolewa ila mchongo sisi watu wa karibu tulijua kabisa yeye ndo anashinda maana tayari tulipaswa kwenda South Africa kwaajili ya party yake)
Akanibom siku iyo apo Rose Garden kuku mzima ale,nikampa pesa elfu34 maana ni mwanangu kabisa tumeshibana.
Nikasepa. Nikazunguka na mizunguko yangu narud eneo ilo tena nikamkuta (imagine akanibom tena lakin wakat huu tayari amelewa na madawa na hakumbuki kama tulionana,nikampa buku5 ingawa nilionywa nisimpe)
Sisi watu wakaribu tunawalaumu familia yake ya pale Mikocheni.
Back in 2015 juz juz tu nikakutana nae tena ila this time around it was worse aiseeee. Imagine nakutana nae,hanijui kwa jina ila sura anakumbuka. Anaomba kiroba namnunulia bia ila hatak kuichukua anasema niiache atakunywa baadae ila ukitoka anabadilishiwa anapewa UNGA.
Mikocheni,kino,magomen na Msasani ni sehem mbaya kwa vijana wa mambo ya UNGA.
NAUMIA SANA KUMUONA JAMAA HIVI ILA SINA LAKUFANYA.
NAUMIA GUYS TRUST ME
This guy namjua sana tena sana,nimekua nae street moja Mikocheni.

Sio kama naogopa.MKUU SIJUII ALISHINDA A MWAKAGANI ILA ALIPORUDI ALIENDA KINONDONI PALE STUDIO NJIA YAKWENDA MWANANYAMALA OPP NA VIJANA CC M KUNA NJIA UNAINGIA NAYOO.. ALISHAHAMIA HAPOSIKUNYINGI... KINONDONI NALITAMANI WANGEJENGA MAKANISA NA MISIKITI WAMRUDIE MUNGU...
KINGINE
UKILETA INFO ELEZEA USIMWOGOPE MTU.. K UMESEMA UWEZIWEKA JINALAKE LAKINI ANAJULIKANA
KINGINE UMEELEZEA KAMA MTOTOWETU ALIFANYA KOSA BBA... NILITAMANI UMALIZIE ILI UFUNDISHE NA WENGINE WANAOKWENDA KULE KWAKUWA UMEFANYA SIRI HII NIIWEKE WAZI ALIMTISHIA MTU KISU... SIKUANASHUKA AIRPORR ALIKUWA ANALIA NANDUGUZAKE WAKIMKUMBATIA AKAWEKA WAZI HAKUWA NANIA SEMA ALIKUWA ANAMTANIA MWENZIE.. MMH UKWELI ANAUJUA YEYE
NAWAZA MAMAKWANINI AMEMWACHA HAKURUDI NAE MAREKANI.. KUNAMASWALI YAKUJIULIZA SANA KWANINI ATOKEE MAREKANI ASHINDWE RUDI... HAPONAKO KUNA TATIZO...
KAMAMZAZI TUWAOMBEE SANA NAKAMA. MNAWEZA MSIRUHUSU WATOTOI WAKIUME WAKAKAE KINONDONI AMA WAKIKE WAKAE SINZA.. UNAMJARIBU SHETANI NA KAZIZAKE ZOOTE
Mpwaa usimalizie nimeelewaa Kansas inaumaa sanaasanaa tuwaombeeesana watoto wetuSio kama naogopa.
Nina mengi ya kuongea ila napata tabu nianzie wapi. Inauma sana tena sana trust me
Sometimes wakienda kununua marijuana pushers wana mix ili ku recruit clientsHii kitu ya madawa ya kulevya inatuharibia kabisa watoto wetu.
Huyu kijana nafikiri alishiriki Big Brother mwaka fulani na kuiwakilisha Tanzania. Na kwa sasa hii ndio hali ya afya ya Nando, zaidi ya Chiddy Benzino.
Huyu ndio kijana mwingine anayetoa "alarm" kwa vijana wa kisasa kuwa dawa za kulevya sio "ujanja" ni majanga. Unaweza kuanza na kuvuta kisirisiri, lkn majibu ya madhara yake yakawa hadharani na unapotoka hadharani basi muda unakuwa umekwisha kwenda.
Tuwasaidie vijana wetu waepukane na matumizi ya madawa ya kulevya.
View attachment 453137
Serikali kupitia chombo cha usalama wa taifa livalieni njuga hili suala, linazidi kutumalizia vijana wetu ambao ni nguvu kazi ya taifa.Hii kitu ya madawa ya kulevya inatuharibia kabisa watoto wetu.