Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Sijui nini kinamkuta mtu akilini mwake mpaka anaamua maisha kwa style hii
 
icho kipindi cha take one kinashawishi watu wajihusishe na mambo mabaya. story za kupiga vijiweni wao wanarusha live. bora kilivyo fungiwa
Jamaa jinsi alivyokuwa akijielezaa daaah
 
JAMII YA KITANZANIA NA SIRIKALI BADO HAIKO SIRIAS NA HII KITU KWA SABABU WAUZA UNGA WOTE WAKUBWA NA WADOGO WANAJULIKANA NA WANAONGOZA KUTOA MISAADA MISKITINI, MAKANISANI NA KWENYE CHAMA CHETU PENDWA. KAMA ADHABU YAKE HAIJAWA KIFO NA JAMII IKABADILIKA WAZUNGU WA UNGA SIO WATU WAZURI HATA KAMA NI WATOTO WETU, NDUGU , JAMAA AMA RAFIKI ZETU.
MUUZA UNGA HANA TOFAUTI NA MCHUNA NGOZI YA BINADAMU AMA MKATA VIUNGO ALBINO NA MUUAJI MWENGINE NA ADHABU SAHIHI NI KIFO.
KINYUME CHAKE TUKIENDELEA KILILEA HILI TATIZO MPAKA MWAKA 2050 ROBO YA VIJANA WETU WATAKUWA WAATHIRIKA.
MADAWA YA KULEVYA NI TATIZO KUBWA KUZIDI UKIMWI BONGO
 
Wewe unawajua hao wauza unga?
 

Kama unawajua wewe kama mwananchi unayetaka kusaidia si ndio ungewataja pia au?

La sivyo ni yale yale hata mengine umeyaandika
 
Kama unawajua wewe kama mwananchi unayetaka kusaidia si ndio ungewataja pia au?

La sivyo ni yale yale hata mengine umeyaandika
HAO WANAHIZAYA WANAJULIKANA NA JAMII NZIMA!
LAKINI HAWACHUKULIWI HATUA STAHIKI, RUSHWA INANUNUA HAKI, JAMAA WANAHONGA HELA NDEFU
 
Hakuna faida ya haya madawa ya kulevya, zaidi ni hasara na umasikini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…