Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Nyie msijifanye mie zwazwa hivi ni kweli hao pichani ni mutu moya?
 
Haya madawa bora hata kubeti jamani. Daaah
 
CT yeye anatumia siku hizi????embu angalia hii video ya Amir maskini ya mungu,dauh

uwiiiiiiiiii...keleuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..kama mwanamke nimekiva kiatu cha mama aliyebeba mimba yake..alipomleta duniani furahi iliongezeka sana ktk familia lkn sasa furaha imegeuk msiba mkubwa mno mioyon mwetu..*naumi jmn*
 
Hivi,hawa wooote wanaoathiriwa na sembe hawawaoni wenzio walivoathiriwa kabla yao!?
Sidhani kama iko hivyo Mkuu!!

Mbona waathirika wa UKIMWI tunawaona kila siku pamoja na mateso wanayoyapata kwa ugonjwa huo ila bado tunaupata?.Tena wanaoupata ni wale wenye uelewa mpana juu ya ugonjwa wenyewe?.Why?.

Mtafuta hachoki,akichoka kashapata.
 
Na walionza kuvuta bang walianza ma sigara?bas sigara zipigwe marufuku.
Hujaelewa,tunachosema wauzaji wa bangi ndio pia huuza unga na ili wapate wateja wa unga basi huwachanganyia unga kwenye bangi,sasa sigara inaingiaje hapo?
 
Hujaelewa,tunachosema wauzaji wa bangi ndio pia huuza unga na ili wapate wateja wa unga basi huwachanganyia unga kwenye bangi,sasa sigara inaingiaje hapo?
Si kwel..pusha wa bang hauz unga..na mara zote maskan ya ganja mteja hakai...fanya utafit halafu uje tena...but sitetei chochote sababu havina faida kwenye maisha.
 
hali ya vijana kuiga maisha wasiyo yajua na kudhani ni ujanja inaendelea kuwatokea puani na kuwaharibia Maisha kabisa

Kijana nando alikua na uwezo wa kufanya kitu chochote tanzania na kikakubarika,

Lakini aliacha yote hayo ya Maedeleo yake na taifa na kuamua kua mlevi mzinzi na mtumiaji madawa ya kulevya,sasa hali yake inasikitisha sana.

Ehh Mungu kama binadamu kusaidia vijana hawa hatuwezi tunaomba msaada wako.Amen
 

Attachments

  • nando-1.jpg
    51.4 KB · Views: 80
Kawa babu, mimi ni kijana kwake! Pole yake na kwisha habari yake!
 
Hawana nia ya dhati ya kudhibiti ,na huenda hao hao wanasiasa ndio wenye hizo biashara

Ni kupoteza muda kulia na hii serikali
 
amani kwa kaka voda mwambie mo nimeacha poda sili mmea...R.I.P Langa
 
Nilikua naish mwenge hapo miaka flani nikawa naenda kununua bangi kwa pusha flani siku akanimixia na na unga sema nilikua na mungu nilivuta na sikudumu nayo muda mrefu mpka sasa sitaki kukumbuka kma nimeacha bangi
Pole chief... walikuwa wana ku recruit hivyo.... God bless you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…