Hivi Vengu yupo wapi kwa sasa?Waligawana majukumu vizuri..Vengu yeye alikua busy na Mlema.
Tasnia ilikua safi Sana sio content za Sasa.
Kuna miaka flani aliugua sanaaaaa......Hivi Vengu yupo wapi kwa sasa?
Sifahamu mkuu,labda wenye taarifa wanaweza pita hapa wakasema loloteHivi Vengu yupo wapi kwa sasa?
Hii comedy ndiyo iliyatoa haya majamaa maana kabla ya hapo yalikuwa yamezeeka! Hao wengine mbona hawasikiki? Vengu na mwenzake!View attachment 3255573
Hapa ndipo tulipopata misemo mingi sana kama ule wa kudadadeki (Nafikiri joti aliutoa katika msemo wa "kulaleki" ukikuwepo tangu 90s), umefulia, etc
miondoko ya aina yake, hapa ndipo tulipogundua wasanii walivyoiba style za wasanii wa nje then joti akawa anawa expose, mpoki kumuiga marehemu komba,
Miaka hio masanja anawadiss beki tatu na ndugu waliotembelea kusalimia nyumbani kwa watu na hawataki kurudi kwao 😂😂
HAKIKA HAWA JAMAA NI TUNU YA TAIFA
Ulikuwa kwa shemeji yako mkuu?"Nikushukuru na wewe unaenitaza ukiwa sebuleni kwa shemeji yako, dada yako ameolewa na wewe umeenda kukaa kwa shemeji yako, yaani wote wawili mmeolewa"
Ze comedy ilipokua inafikia hapa nilikua napata wakati mgumu
Joti mwenyewe alimkopi martin lawrence ule mwendo wake,kudadeki lipo tu tangu 90View attachment 3255573
Hapa ndipo tulipopata misemo mingi sana kama ule wa kudadadeki (Nafikiri joti aliutoa katika msemo wa "kulaleki" ukikuwepo tangu 90s), umefulia, etc
miondoko ya aina yake, hapa ndipo tulipogundua wasanii walivyoiba style za wasanii wa nje then joti akawa anawa expose, mpoki kumuiga marehemu komba,
Miaka hio masanja anawadiss beki tatu na ndugu waliotembelea kusalimia nyumbani kwa watu na hawataki kurudi kwao 😂😂
HAKIKA HAWA JAMAA NI TUNU YA TAIFA
Hawakua na busara"Nikushukuru na wewe unaenitaza ukiwa sebuleni kwa shemeji yako, dada yako ameolewa na wewe umeenda kukaa kwa shemeji yako, yaani wote wawili mmeolewa"
Ze comedy ilipokua inafikia hapa nilikua napata wakati mgumu
Ephen upo wapi dada 😋Pengo lao halizibiki.