Hii ndio Interview iliyoifanya dunia ifahamu uwepo wa huyu kiumbe




 
Hi ndoto ndio ikasihia hapo hapo, ungerudi kulala, huenda epsidal ya pili ingeendelea
 
kuna level flani ya kupigika ukifikia ni mwendo wa kuota ndoto za kusadikika tuu, ukiamka mitano tena inakukunja kifo cha mende, popo kanyea mbingu au chopwincho pale pale.
 
Kuna watu watakuambia unajimwambafai.
 
JF yenyewe unatumia free basic [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hahaaaa,si ajabu ukute unaishi kwa shemeji yako
 
hahahahahahaha😂😂😂, umevunja mbavu yangu ya upande wa kushoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…