Hii ndio Interview iliyoifanya dunia ifahamu uwepo wa huyu kiumbe

Kwa hayo maneno yako,ni wazi kabisa ww ni muongo zaidi,mpaka unapata mda wa kutujibu hapa.

Huna lolote

Ova
 
Nina maswali 5 tafadhali naomba kujibiwa!
Swali la kwanza! Cheti chako cha mwisho ulichofuzu, ulisomea nini na kwa mda gan?
Jiandae kuchukua notes kwa hilo swali[emoji3]

Kwanza Chuoni hakwenda kusomea alienda kuwasomesha na kupewa cheti

Ogopa mtu analipwa na sekunde bro [emoji3]
 
Hii chai imezidi viungo😀
 
Kwamba Kiduku Lilo ndiye msomi wa juu zaidi duniani😂😂😂
Hapana.si suala la kusoma sana. Ni kuwa very smart. Sipendi kutumia haya maneno. Ila wenyewe wanasema nina akili sana. Mimi nina Masters tu na Vyeti vingi vya training mbalimbali toka vyuo mbalimbali kama Yale, Oxford,Cambridge, Calfonia, Harvard, Massachutes n.k. Na training ambazo zimewahi tolewa na watu muhimu duniani wenye akili za ziada. Akina Musk,Mark,Bill etc.

Pia kuna Makampuni makubwa ambayo nimefanya nao kazi wakanipa vyeti vya shukrani na kutambua mchango wangu Duniani. Amazon,Alibaba,Google,BMW,GMC,Merc Benz, Range Rover, Yahoo. Na mashirika zaidi ya 20 ya Kimataifa Duniani. So wala si kwamba nmesoma sana. Hamna ni kawaida tu sema nina exposure kubwa.
 
woii
 
Ile range used unaiuza lini mkuu
 
Mkuu nina YouTube channel yangu.
Hivyo story kama hizo nikutafute uwe unasimulia ujue watu watafurahi sana unajua kusimulia na kutunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…