Hii ndio Interview iliyoifanya dunia ifahamu uwepo wa huyu kiumbe

Nilivyomaliza kusoma ndo nikarufi kuangalia I.D maana haya maudhui anayawezaga lilo kama lilo nikataka kushangaa nani tena huyu.
 
kweli hii ni habari mchanganyiko
 
Mkuu unaonekana kama mtoto wa Le Mutuz, you are too humbled you know,too much matembez, magari expensive. Uende kuishi dunia ya Elon Musk boss.
 
Ukiendelea hivi hadi hii mitano iishe utakuwa umeshawehuka
 
Sijawahi kuisikia kampuni inayoitwa Apples ila Apple Inc. ipo

Chai++++
 
Aise kwa hiyo na wewe ni miongoni mwa wataohama sayari na musk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…