HII NDIO KANUNI BORA YA KIJASUSI YA KUISHI NA MNAFIKI YOYOTE DUNIANI 😊

HII NDIO KANUNI BORA YA KIJASUSI YA KUISHI NA MNAFIKI YOYOTE DUNIANI 😊

Kuna mstari mwembamba unaotenganisha MNAFIKI NA MUUAJI haswa wale serial killers. #kataa unafiki#
 
Daaah sasa ungejua tuu unafiki uwezi jua kwa namna hiyo ndugu yangu maana hizo dalili zote mtu anaweza kufanya na akawa mwema pia maana moyo ni kichaka.

Alama za mnafiki ni tatu tu
1. Akitoa ahadi atimizi
2.husema uwongo
3 hii nimesahau
 
HII NDIO KANUNI BORA YA KIJASUSI YA KUISHI NA MNAFIKI YOYOTE DUNIANI 😊

Kijasusi jitahidi uwafahamu watu kabla ya wao kukufahamu, na hapo ndipo utagundua WANAFIKI NA WASIO WANAFIKI.

DALILI ZA MNAFIKI

1.Kwanza atajifanya mwema sana kwako
2 Atajifanya kuumia sana dhidi ya wanaokusema mabaya kumbe moyoni anafurahia
3 Atakuweka kwenye mazingira ukosee kisha akupe pole kumbe anafurahia na kukutangaza
4 Muda mwingi akiwa nawe anakupa habari za watu wengine.


FANYA HAYA UKISHAMJUA KUWA NI MNAFIKI.

1.Usimwambie kwanza kuwa umeshamjua.
2 .Hakikisha humpi habari zako ambazo zikifahamika kwingine italeta shida
3 Mtumie kama barua ya taarifa kujua watu wengine
4 Ukimaliza kumtumia kama chanzo cha taarifa anza kumkwepa taratibu.
5 .Hakikisha unafiki wake unakunufaisha kwanza ndio uonyeshe dalili za kumkwepa

#Instagram@ fikia ndoto zako
Ok
 
Wanafiki wanahahaga jamani 🙌🙌🙌🙌!

Nikishamjua mtu ni mnafiki 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮😏😏

Cc Smart911
 
Je na sisi tunao comment hapa sio wanafiki? Maana sisi sio malaika.
 
Back
Top Bottom