Hii ndio kazi ambayo uonekana haina maana lakini inafaida sana

Mbona hujatutaja na sie wauza majeneza? Na vumbi la Kongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cherehani mpaka iaribike ndio upate kazi hiyo hailipi..
Fundi cherehani kwa maana ya anayeshona nguo sio anayetengeneza, kwenye anayetengeneza hamna chochote kiukweli ila anayeshona akitulia akapambana haitachukua muda mrefu sana kuishi maisha ya mtanzania wa kati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni mshonaji muda mwingine ajue kutumia kiswahili fundi cherehani ndiye anaetengeneza ikiaribika

Bukoba
 
anachokitafuta atakipata tu, pesa inaingia huku akizalisha ugonjwa wa kutopumzisha mwili mda wa kutosha.

tutazika na mpunga wake tunagawana tunakula maisha.
 
Huyo ni mshonaji muda mwingine ajue kutumia kiswahili fundi cherehani ndiye anaetengeneza ikiaribika

Bukoba
Ukifuata matumuzi sahihi ya lugha inawezekana hayupo sahihi ila kwa mtaani au katika jamii hilo neno ndivyo linavyotumika na ukisema fundi cherehani kwenye jamii wanakuelewa kabisa kuwa unamaanisha anayeshona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…